Msaada wa kuadd form six number kwny tcu

B2L

Member
Jun 25, 2014
67
11
Nimejaribu kuadd number yngu y form 6 nliomaliza mwka huu lkn inakataa inaandika" index number entered is either not valid or does no exist" aliofanikiwa anawez kunielekeza nifanyje kutatua swala hili!
 
Kwani unadd au unatype namba yko me nimefanikiwa nilipoingiza tu imekuja na matokeo yng yapo correct andika iyo namba yko apo inapotakiwa eg S1123/0004/2016
 
Nimejaribu kuadd number yngu y form 6 nliomaliza mwka huu lkn inakataa inaandika" index number entered is either not valid or does no exist" aliofanikiwa anawez kunielekeza nifanyje kutatua swala hili!
sasa hivi hakuna kuadd namba yani ukiandika tu namba yako ya form six ya mwanzoni inakuletea matokeo yako yote
 
Back
Top Bottom