Sasa kama wamaandika wakatoliki basi na wakatoliki wa muda huu wanaweza kuiandika Quran, lakini ndani ya Qur an inatowa challengi kwamba ikiwa watu wanahisi Qur an haikutoka kwa Allah basi wao washirikiane watu wote wa ulimwenguni pamoja na majini (wanasciance, wanasiasa, wataalamu wa fedha na...
Wayahudi wametajwa sana kwenye Quran kwa kuwa wanasifa zifuatazo:
1.nijamii ambayo imepewa elimu kwani asilimia zaidi ya 90 ya mitume wa muungu waliokuwa wanatoka kwenye jamii ya uyahudi.
2. Kutokaana elimu waliopewa walitarajia kuwa mtume wa mwisho pia atatoka kwenye jamii yao, lakini Allah...
Habar?
Kwanza tuangalie history tunazoziita dini na mitume yao (kwa kuzingatia mafundisho ya kiislamu)
1. Uyahudi, mtume wanaemfuata ni Mussa A. W (Jesus) ambae utume wake ulikuja kabla ya Masihi Issa A. W,
2. Christian, mtume wake ni Issa (Jesus) ambae utume wake ulikuja baada ya Mussa na...
Mimi simjuzi sana ila uchache wangu wa elimu jibu lako ni kuwa:
1. Shahada hutumiwa kwa mtu aletoka kwenye dini nyengine kuingia kwenye uislam, kwa mfano wa Abraham yeye hakuwa katika dini nyengine kwa hio hakusilimu.
2. Kwa kilamtume kutoka Adam wanaposilimu huwa wanatoa shahada kwa kukubali...
Point yako I naweza kuwa na ukweli Kwa asilimia isizidi 40%. Kwa sababu lugha ni tools inayotumika kuchukuwa Au kutafuta elimu.
Lakini elimu na lugha ni vitu viwili tofauti, Unaweza kujua lugha lakini ukawa huna elimu na Unaweza kuwa na elimu ukawa huna lugha, Ila haitokuzuia kuifanyia kazi...
Waliuluwa wameshakufa, walioua nawao watakufa na baadhi yao wameshakufa, na sisi pia tutakufa.
Kwahivyo chuki au tamaa yakulipingiza mali (maslahi ya kiuchumi) au utukufu (vyeo vya madaraka) tutaviacha na kitakachobakia nikulipwa kwa kila mtu alichokifanya na nia iliompelekea kufanya hicho...
Watu wengi wanafikiria kuwa vita nijambo baya sana lakini katika dunia ya leo na iliopita vita ndo vinaleta kuheshimiana katika jamii mbali mbali ijapokuwa sijambo zuri lkn kuna wakati uonevu, dhulma na maasi yanapozidi katika dunia Muungu huwapambanisha baina ya watu kwa watu ili kupatikane kwa...
Hee.
Viumbe wenye akili hapa duniani/ulimwenguni ni viwili tu ambavyo ni binaadamu na majini tu asikudanganye mtu wowote awe msomi au hakusoma.
Malaika wapo kama roboti na viumbe wengine wamepewa maarifa tu kama vile kuku, mbwa nk kwa ajili ya kumtumikia binaadamu (ambae ndie mtawala wa dunia na...
"Kama Muungu Pekee ndo anajua" lengo a kumuumba binaadamu. siutakuwa umeshapeta jibu?
jibu lake nenda katika vitabu vya Muungu (Biblia, Quran, nk) haina haja kuumizwa kichwa bila ya kupata faida yeyote.
Unasema dini haina nafasi?
Jee hujiulizi kabla ya kuzaliwa ulikuwa kiti gani/kiumbe gani? na umefanyika vipi? na kwanini maisha yako yamekuwa kama kuku anaefugwa bandani kwani kuku huwa anaekewa maji, chakula, dawa nk na wewe umekuja hapa umekuta vitu vyote ambavyo just natumia tu kama mfano wa...
Hatuwezi kulinganganisha akilili za jamii tofauti bila ya kuweka vigezo ni sawa na kusema gari na ndege ndege bora kisa ndege inaruka angani, inatatakiwa tuweke vigezo km vile cost, flexibility, speed,nk.
kwangu ningependa kulinganisha akili kwa mambo yafuatayo;
1. Kujua majukumu yako hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.