Mwambieni atuachie nchi yetu kwasababu hata wenzake waliotangulia wangeamua kujiongezea muda madarakani asidhani kama Leo hii angekua kwenye nafasi hio aliopo Leo.
Tatizo mtajifanya kuanza kumuwajibisha sasaivi alivoondoka CCM, wakati miaka yote mpo nae na mlikua mkijua ufisadi wake wote ila tu kulindana,sasaivi ndo mmeanza kuona kwamba jamaa alikua fisadi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.