Nafasi za kazi kwenye Bomba la mafuta Tanga na internship program kwa waziri mkuu izi apa;

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Latests hiyo wadau.
MCHONGO WA BOMBA LA MAFUTA TANGA.

OFISI ZAO ZIPO CCBRT msasani Jengo la MSASANI PLAZA. Ulizia ofisini za Melva international. Ndio hapo, onana na wadau kwa maelezo zaidi

On behalf of our client we are lookjing for interested qualified Tanzanians to fill apply for the following positions:
1. Sand bluster
2. Spray painters.
3. Riggers
4. Crane operators.
5. Forklifts operators
6. Insulators (welders)
7. Electricians
8. Mechanics (for diesel engines - heavy duty machines)
9. light vehicles mechanics.
10. Planing engineers.
11. Project planner (certified Primaverra P6)
12. Health&safety officer
13. QA & QC (certified by NACE).
14. Accountant.
15. Logistic officer
16. Stock keeper
Kindly send only your CV to this email: info@melvahrconsultancy.com
No call or SMS will be entertained.
Only qualified people will be shortlisted and contacted.


Internship

*MPYA*

*SERIKALI KUPITIA OFISI YA WAZIRI MKUU IMETANGAZA NAFASI ZA INTERNSHIPS KWA VIJANA WALIOMALIZA VYUO FANI MBALI MBALI*

*DIPLOMA NA DEGREE GRADUATES*
internships opportunities OFISI YA WAZIRI MKUU
*INTERNSHIP PROGRAMME KATIKA OFISI YA WAZIRI MKUU NI KUANZIA MIEZI 6 HADI MIEZI 12* engineering sector zote
Human resources officers
Accountants
Bank officers
Finance and accounting
Health and environmental sectors
Procurement and sales suppliers

*And other sectors*

Bonyeza link kuangaliaNAFASI na jins ya Ku apply
Internships at Prime Minister’s Office (130 Positions)

*TAFADHALI UNAOMBWA KUSHE NAFASI HIZI KWA GRADUATES WAWEZE KU APPLY MAPEMA*

Deadline October 30


Tanroad usahili wameandika Mwisho leo ila utaenda mpaka kesho
 
Huko dar ofisi za nn ikiwa mhusika ni tanga kama uzinduzi ulivyofanyika tanga duh upigaji mwengine utafelisha mipango
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom