Recent content by aziz40

  1. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Na yeye hajasemea wa nyufa tu kasema kwa wote
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Kenya Uganda wameguswa wametoa msaada serikal ya Tanzania bado haijaguswa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya mikoani kugoma Jumapili

    Hii siries bado inaendelea
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Dar

    Dar ndio TZ kama hujui kila mtu ndoto take ni kuja mjini na kwasasa hatutaki mtu mjini kaeni huko msiojua hata kuoga
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Dar

    Naona waporini wanatafuta kick na wa mjin mnaangaika na hawa wanuka shombo mtajifunza nn kwao?
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Style za wanaume wa Dar kutongoza

    Mm juz tu nimeenda tanga madem wote mimacho kwangu na mm bila hajiz nikakamata mmoja nikagonga katoka pale haya sijawahi kufanyiwa na huyu mkulima wangu akataka kuniganda nije nar dar
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Style za wanaume wa Dar kutongoza

    Hata madem wa mikoani mbona wanatamani leo kesho wapate mwanaume wa dar najua mnaumia tukija mikoani madem zenu wanatutamani ngoz kama nimetoka new york pafyum labei mbaya pochi limejaa hela mapenz ndio akitaka atakojozwa mpaka akusahau wewe mnuka shombo
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume: Mnajisikia vipi mnavyoombwa pesa?

    Tatizo lenu wadada mkipata mwanaume mnamgeuza ATM kila kitu baby naomba laki moja nikasuke hujakaa vizur baby shoping ukigeuka nataka kutoka out jaman muwe na huruma kukupenda sio uniadhibu kias hicho maisha yenyewe magumu
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kama una swali lolote kuhusu mapenzi uliza

    Hahahhaaaa
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kama una swali lolote kuhusu mapenzi uliza

    Kuhusu wanaume wa dar sio wote na si kwel kua wanaume wa dar wanakojoa haraka hiyo takwimu mmeipata wapi kama mnabisha mm nipo dara kama kuna mdada anabisha na mm tuondoe ubishi nitamfuata hata huko mikoani
  11. A

    JamiiForums Tanzania Prof. Political scientist kumuita Rais Magufuli fascist, kuna tatizo chadema!

    Mpingeni Prof. Kwa hoja na sio kumkejeli yeye kaona kwa maono yake na hali inavyokwenda na itakavyokua baada ya utawala wake watu wenye akili wameona
  12. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hana sera yoyote ya kukuza uchumi, yupo yupo tu huku uchumi ukiteketea kwa kasi!

    Maguful ataweka mambo sawa lazima asafishe wajanja kwanza ndio atengeneze uchumi tuwe wavumilivu tumuombee Mungu ana nia nzur na taifa hil.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy note 2 gt-n7100 boot problem

    Niletee kesho nipo buguruni hapa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Unlimited Internet Using Multi-SSH

    Nihitaji mkuu nifanyaje
  15. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Kwani huyo kiongoz uliyemchagua watoto wake wanasoma wapi?
Back
Top Bottom