Unlimited Internet Using Multi-SSH

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
Haya sasa wale wakongwe wa TunnelGuru na wale wanaotaka kujiunga na Internet bila kikomo nawaleteeni hii kitu kipya ambacho nime target zile backsides zote za TunnelGuru na kuziondoa kuhakikisha watu wana enjoy....

Kwa wale wataoikubali hii kitu nichekini Inbox ili niwaunge ni unlimited internet bila chenga,unapakua torrent bila wasi wasi

3G SSH bei yake 9,500/=

4G SSH Bypass 20,000/=

Hakikisha eneo lako lina speed ya kutosha kwa hili basi letu la siku zote kabla kunitafuta nikuunge

Nitumie directly JF hapa nkupe Password ya mafile yaliyowekewa usalama

Faida zake
1.Unaweza pakua Torrent
2.Unaweza ku share internet kuja kwenye devices nyingine ukiwa unatumia VPN
3.Fast browsing and Downloading

Requirements:
1.Premiumssh Tunneling Tool

Steps

1.Ukipata Tool iset hivi kama kwenye picha kisha jaza username yako na password na kisha minya hii switch nyekundu ku Connect na hakikisha Tool unai run as admin

0oTM4i.png

Ukitaka kujua upo connected angalia katika system tray hizi icons zenye red rectangle

Ys9BJl.png

Kwa mawasiliano na usaidizi wa matatizo zaidi tuwasiline

njunwawamavoko@gmail.com

Skype: premiumssh.net

Video Tutorial

[video]https://youtu.be/SmDprQQ6W40[/video]

Contacts accepted:
1.JF Private Message(PM)
2.Email njunwawamavoko@gmail.com

I will be terminating my phone numbers and will ignore all sms or calls asking unlimited internet
Cybercrime laws are arleady at work
 
hapa nilipo japo napata 3g ila speed ya basi letu la zamani ndogo sana. Tunnel guru upande wa mdebwedo CDMA speed ni nzuri ila kila baada ya dk 10 injidisconnect..........hammna basi jipya mkuu?
 
hapa nilipo japo napata 3g ila speed ya basi letu la zamani ndogo sana. Tunnel guru upande wa mdebwedo CDMA speed ni nzuri ila kila baada ya dk 10 injidisconnect..........hammna basi jipya mkuu?

Tatizo mabasi ya zamani ni mawili sijui unakusudia lile la Goti?
Kama ndo hilo emu jaribu kuunga kifurushi chao cha usiku uone wamebadilika na hakikisha ume set WCDMA only
 
Tatizo mabasi ya zamani ni mawili sijui unakusudia lile la Goti?
Kama ndo hilo emu jaribu kuunga kifurushi chao cha usiku uone wamebadilika na hakikisha ume set WCDMA only

Nimeset WCDMA only ila speed ya konokono.....nmeweka AdMuncher ili kuzima matangazo ya kwenye website wapi tatizo ni hapa dar tu, ni majuzi tu nilikuwa likizo mwz kule speed ya gari letu ni kali sana
 
Ni saa sita na dk.39 ninapoandika hapa, asante mkuu Njunwa Wamavoko, pamoja na uhafifu wa network hapa (haipandi zaidi ya 300kbs nipo nabrowse jf huku nikiangalia bein sports......hahahahahaaaaa haijawahi kutokea huku salio langu likiwa 0shs.
Asante sana mkuu, ngoja niunganishe na wifi kwenye ka-TECNO kangu kwaajili ya whatsupp....txt, voice,.....!

TAHADHALI: unaonaje ukificha jina la mtandao husika hapo kwenye hizo picha hapa jf na kwenye blog yako?
 
sawa mkuu ntazingatia hilo kuondoa picha hiyo
 
Mkuu Njunwa Wamavoko,

Moja ya sababu ambayo ilinifanye nisiipende Tunnel Guru ni pale nilipokuwa nalazimika kurudi tena na tena kwa service provider hapa JF kila nilipohitaji ku-download certain series! Kwamba, lazima nimwambie nahitaji Series X, kisha yeye ndo ana-create file (probably using his premium account) ndipo nami niweze ku-download!

What about this new product? Na kama na yenyewe ni lazima niwe narudi tena kwako ili u-create a file to download ( I hope umenielewa nini hasa namaanisha kwenye hili...), je kuna njia yoyote ya kuepukana na hilo, for instance having a premium account or else?
 
Last edited by a moderator:

Trick ipo Multi-SSH ambayo ni recomended pia ipo VPN zote zinaweza ku download Torrents.

Ila I dont Prefer watu watumia Torrent client hivo nime setup Seedboc http://nl1.ddns.net:9091

Ambako kila mtu anaweza Upload Files zake za Torrent iwe movie,series,apps etc na kuzipakua Directly kwa IDM au Downloader yoyote bila kutumia torrent clients e.g utorrent,bitcomet,vuze etc
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom