Recent content by Aziz Ki Mayele

  1. Aziz Ki Mayele

    Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

    Sikatai Saido ni mchezaji mzuri sana na amekua na msimu mzuri mno Points zako zoote zimejikita kwenye "Saido amefunga hivi na vile" Value ya Mayele inaletwa na mchango wake kwenye Ubingwa wa Yanga, ubingwa ulikua ni ultimate target/sababu ya ligi kuwepo na kufanyika. Ukitoa mchango wa...
  2. Aziz Ki Mayele

    Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

    Magoli hewa aliyokua anafunga Saidoo utayafananishaje na magoli zazi? Magoli ya Mayele yameipa Yanga Ubingwa wa NBC PL
  3. Aziz Ki Mayele

    Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

    MVP .. haya yote tuliyaona kabla sisi watazama mbali! Unalolote labda la kumwambia MVP wa NBC PL?
  4. Aziz Ki Mayele

    Mfumo wa TRA ajira leo hovyo

    Kwa nini alisubiri mpaka deadline mkuu?
  5. Aziz Ki Mayele

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Or long term memory .. I might have read that 3 years ago. Mtu aliyejibu vizuri kiasi cha kua wa kwanza katika 5k yuko poa. Nimekwambia still atafaulu vyovyote mtihani utakavyotoka, be assured of that.
  6. Aziz Ki Mayele

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Arguments zako za kitoto sana Kwa hiyo hapo ndo umepima uelewa? Unadhani ukiuliza swali la namna hiyo yule wa kwanza (aliyepata marks nyingi kwenye hayo maswali unayosema ni ya direct) atapata marks za chini? Make no mistake bado ataongoza yeye Kuongoza marks kwenye watu 5k sio rahisi...
  7. Aziz Ki Mayele

    Yusuph Bakhresa amesema bado Mayele na Diara amalize kazi

    Kwa hiyo wewe unaamini sababu za Ahly kumsajili miquison ndizo hizi za Azam kumsajili Feisal?
  8. Aziz Ki Mayele

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sasa si wanaponda utumishi kuuliza maswali ya darasani hata written, au we hujaona hoja hizo?
  9. Aziz Ki Mayele

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mimi nakwambia mzee huwezi ita watu 10k uwaulize "what is your greatest strength"? Hizo ni interview za experienced candidates ambao recruiter kawachuja kupitia CV zao kaangalia experience zao na kuvutiwa na wachache na kuwakaribisha kwa interview zaidi Yani uite watu maelfu uwaulize "what...
  10. Aziz Ki Mayele

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wewe ndio unabwabwaja. Post nyingi za utumishi ni entry level jobs wakati waajiri wengi jamaa anaowa-refer wanafanya standard interviews wanahitaji watu wenye experience.. hivyo wengi hapa hua wanapigwa chini Kwa nn top recruiters kama PWC, E&Y, Deloitte ambayo ni industry standard huwa...
  11. Aziz Ki Mayele

    Kwa Wanayanga: Nini Kifanyike ili Yanga icheze Fainali ya CAF Champions League msimu ujao

    Wanaojua dhidi ya Mazembe ni wapi? Mamelodi au Simba taja moja moja then twende sawa
  12. Aziz Ki Mayele

    Kwa Wanayanga: Nini Kifanyike ili Yanga icheze Fainali ya CAF Champions League msimu ujao

    Kwani unalinganishaje wewe usiyeumwa?! Unalinganisha kwa parameters zipi?
  13. Aziz Ki Mayele

    Kwa Wanayanga: Nini Kifanyike ili Yanga icheze Fainali ya CAF Champions League msimu ujao

    Tumefunga Mazembe nje ndani, kwani Mamelod na Mazembe nani nguli?
  14. Aziz Ki Mayele

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tatizo kujifanya mjuaji sana.. Sasa kama unacandidate 8k - 10k utasahihisha Kwa hizo veiw za mmoja mmoja? Yani wewe uwakusanye watu 10k uwaulize "how do you handle pressure at work"?
  15. Aziz Ki Mayele

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Watu wanafanya usaili kama wanafanya UE? Unazungumziaje makampuni (top companies) duniani zinazoenda vyuoni kurecruit watabe wa UE? With all due respect ukihitaji watu wawili kwenye 500 hata kama umewapa hayo maswali unayoyaita ya UE mtu akiibuka kidedea out of 500 candidates then ana kitu...
Back
Top Bottom