Recent content by azithromycim

  1. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama Vinapaswa Kulinda Taifa, Siyo Kulinda Mtu Mmoja | Kwa Nini Usimamizi wa Kikatiba ni wa Lazima

    Hata ya MO29 yasingetokea kama vyombo vyaulizi na usalama vingekuwa vinawajibika kwa jamii na sikwa mtu mmoja mwenye mamlaka
  2. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila UKIMWI inawezekana

    Gen z wapewe elimu ya kujikinga na ukimwi na siokuwaombea wafutike
  3. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila UKIMWI inawezekana

    Ukimwi bado ni janga la afya ya jamii linalosumbua dunia, hasa katika nchi za Afrika Kusini mwa jangwa la sahara ikiwemo Tanzania. Kulingana na Utafiti wa Hali ya Ukimwi Tanzania (Tanzania HIV Impact Survey - THIS 2022-2023), kiwango cha maambukizi (prevalence) cha Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa...
  4. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

    Dudubaya anaikosea miaka 30 ya bongo fleva alikua nanafasi yakuzungumza hayo nyuma ya pazia na siohadharani
  5. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Tusipo kua makini 2030 inaweza kua zaidi ya October 29 wakiendelea kuweka pamba maskioni

    Umenena vyema sana tusipoziba ufa tutajenga ukita
  6. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Zifahamu kata 10 za Temeke zitakazopisha ICD

    Ivi kwanini wasijenge ICDs bagamoyo
  7. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Stratejia Prof. Eginald PAN Mihanjo: SAMIA HAWEZI KUFIKA 2030

    Lolote baya limkute
  8. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Kama matokeo ya wanaomaliza JKT ndio hawa vijana wanaojirekodi, sipeleki watoto wangu JKT

    Nchi hii inahitaji kufumuliwa Kila sekta imeoza
  9. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

    Mawakili wanahoji heche maswali so personal nahata hayahusiani na kesi ya uhaini ya lissu
  10. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Carrick timu inamshinda hii
  11. azithromycim

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Nafikiri ukuaji wa technology utakuja kufuta kitu kina choitwa dalali maana mtu akitaka kuuza kituchake ataweka kwenye mitandao ukipenda unawasiliana na muhusia
  12. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Tumemsikia Lissu akitoa Pole kwa Rais, Lakini Mbowe na Lema walipotoa Pole CHADEMA wamewashambulia; Kwanini wasimseme Mwenyekiti?

    Hakuna sehemu lissu ametoapole kwa rais amesema peleka salamu zangu za pole kwa wafiwa
  13. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Ushahidi alioutoa john heche mahakamani umeenda kufungua sura mpya ya kesi hii ya uhaini na hapo ndipo jamhuri itakapo aibika
  14. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Nchi ina Mahakimu wapuuzi, Wajinga walokoswa Hekima na Busara. Unamfungaje Mtu Miaka 30 Jela, kisa Bangi Gramu 56?

    Wakate rufaa na watafute mawakili wazuri
Back
Top Bottom