Recent content by Aysenem

  1. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake watano ninaowakubali humu JF

    Na Aysenem😉
  2. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Hello JF

    Ni mimi et
  3. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Karibuni tutongozane kwa mashairi ya nyimbo hasa za mapenzi

    Sisi tusiojua mashairi tunachangia wapi?
  4. Aysenem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya mishumaa na keki katika Birthday? Nani alianzisha?

    Wagiriki wa zaman walitumia round cake kuwakilisha mwezi na na wakaweka juu yake mishumaa wakiamini moshi utachukua maombi yao hadi kwa miungu yao
  5. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi naingia...

    Bila Shaka Pm imejaa Siku niliojitambulisha hapa zilimiminika message hadi leo sijamaliza kuzisoma😂
  6. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi naingia...

    Karibu
  7. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata malighafi za sabuni?

    Nitahitaji kufungua duka la malighafi za sabuni mbali mbali. Je, nitapata wapi malighafi zake kwa Dar na Zanzibar? Naomba mnijuze
  8. Aysenem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini kutoka kwa baba yako?

    Mkuu uliweza kutembea baada ya siku ngapi sehem mbaya Sana Kuna dada moja aliumia hapo (km nmekuelewa vzur) hawezi tembea uzuri Hadi leo
  9. Aysenem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini kutoka kwa baba yako?

    Amemaanisha kufunza typing error
  10. Aysenem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini kutoka kwa baba yako?

    Me nakumbuka alinilipia ada ya mitihani ya kumaliza sec huku akiwa anaumwa hoi na akihitaji wa pesa pia ili aendelee na matibabu Masikini Baba yangu saa chache baada ya kumaliza mitihani furaha yangu ikakatizwa 😭😭😭 baada ya kurudi home na kukuta msiba😭😭😭
  11. Aysenem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwani kubambiwa si free mbona mnakua wakali kina dada?

    Siku akibambiwa mkeo ukuje hapa
  12. Aysenem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku mkiona kimya Mjue wazazi wa huyu mtoto wa Geti kali wamenishoot

    Sifuri IQ
  13. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya boda boda mpya 1 na used mbili ipi ninunue

    Laki 8 mpaka 9 according to yeye
  14. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya boda boda mpya 1 na used mbili ipi ninunue

    Lamar BlacAmerican, Ni yetu kwa sababu chake ni changu pia. Mali zake mali zangu 😏
  15. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya boda boda mpya 1 na used mbili ipi ninunue

    Wakuu za mwaka mpya, Mwenzangu anataka kufanya biashara ya boda boda sasa ameniomba ushauri anunue used 2 au mpya moja na ana 1.8 M. Mimi nimemwambia anipe muda ili nimshauri vizuri, kwa kuwa mimi sijui chochote kuhusiana na biashara hii nikaona nije huku wakuu. Naomba pia kujuzwa utaratibu wa...
Back
Top Bottom