Recent content by AYO AYO

  1. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

    Itakuwa vipi kama HB akikutolea nje na aka-report spam kwa mumeo? Be careful, sio kila HB ni kitonga!
  2. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Top Five companies to work for in Tanzania apart from the UN

    Asante sana mkuu
  3. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiye na gari mi hata simkubalii!

    Nikiwa na gari, sikupi nauli Nikiwa sina gari, nakupa nauli Mbona yote sawa? Lengo ufike kwa gari/usafiri.. Hahaha!
  4. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Heko Sam Mahela; mtangazaji wa television anayekuja kwa kasi nchini!

    Wit hebu njoo pm mama tuyajenge...
  5. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Heko Sam Mahela; mtangazaji wa television anayekuja kwa kasi nchini!

    Mikoani huku hamna soko kwa mashoga? Mbona ni Dar tu? Ifikie hatua wanaume wa Dar muwe na chama chenu sasa mtambuane yupi ni delicious na yupi na ni real man
  6. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Thread za wahenga hizi, za moto sanaa
  7. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Badili maisha yako leo: Yajue Mawe Saba na Madini saba tu yanayoweza kukubadilishia au kukuletea unachotaka

    Mkuu unasemaje? Hebu elezea zaidi hapo ulitumiaje hapo hi Mn sari
  8. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu hukutakiwa kuomba radhi

    Mwenye hio video ya wema anitumie whatsapp chap ili nijue natoaje comment hapa No: 0683011003
  9. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Maua Sama atachanganyikiwa sana kwa jambo hili

    Mbali na music, Sama, Maua ana Shahada kutoka Chuo Kikuu huko Moshi. Mtu kama huyu alie na asset adhimu ya elimu usimngojee karibu eti afe kwa msongo wa mawazo.. Haha
  10. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Msaada: ushawahi kujaza form ya PF 11 ya UNHCR?

    Wakuu bila shaka ni kwema sana! Naomba kufahamu kama kuna watu wapo humu ni either wafanyakazi wa UNHCR TANZANIA ama kuna mtu alishawahi kujaza hii form ya PF11 Anipe msaada zaidi namna nzuri ya kuijaza inipe priority. Nimetumiwa hii form kutoka UNHCR kigoma niijaze niwatumie kabla ya Ijumaa...
  11. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa(UN) watangaza nafasi lukuki za kazi kwa Tanzania

    Vipi wadau mlipata kazi?
  12. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Samsung J7 prime 32GB used 370,000/=

    Kamata laki 2 cash
  13. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Natafuta solar panel used na vifaa vyake

    Hello ladies and Gentlemen.. Bila shaka mmeamka salana! Natafuta solar panel used na vifaa vyake ninunue kwa bei ya maelewano. Kuanzia watss 10, 15, hadi 20. Naomba kama una size mojawapo hapo juu tuwasiliane kwa whatsapp +255763877243 Nipo Ilemela Jijini Mwanza, Tanzania.
  14. AYO AYO

    JamiiForums Tanzania Mr. Blue acha kujikweza

    Kawa ndugu yako tena? Hebu rekebisha hapo msije mka share tabia😂😂😂
Back
Top Bottom