Recent content by AYmemba

  1. AYmemba

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya kuwa mwandishi

    Soma kwa bidii
  2. AYmemba

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, rejea jimboni ujionee unavoligeuza jangwa

    Mbunge Tundu Lissu nakukubali sana kwa mchango wako katika taifa ila kwa uelew wangu mimi naona ulivowaambia watu wa jambo lako wakate mkaa kwel hapo hujaamua vizuri. Vjana wote wamekat miti kwa kujiamin kwamba eti hakuna mtu atakaewasumbua ina sasa wamemalza miti yote hakuna mapori tena.
  3. AYmemba

    JamiiForums Tanzania Shikamooni

    Giuri vee
  4. AYmemba

    JamiiForums Tanzania Shikamooni

    Haahahaaaa... nkungulume
  5. AYmemba

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada ambao siwataki huwa ndo wananishobokea?

    Hizo mdo levo zake
  6. AYmemba

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kuoa

    Naomba nowe mshenga.. mm mtakuonesha
  7. AYmemba

    JamiiForums Tanzania Ananichukia na kuniita malaya kisa nimekataa anioe

    Habari zenu wakuu, Naja kwenu leo mnisaidie kuna msichana nilianzisha uhusiano nae (wa kimapenzi) kiukweli mwanzo nilimpenda sana na hata yeye alikuwa anadai ananpenda tumeenda mwisho wa siku akadai mjamzto mimi sikukataa nikasema poa mama kijacho. Kutoka hapo kimbembe kikaanza akaanza...
  8. AYmemba

    JamiiForums Tanzania Shikamooni

    Habari zenu wakuu.. kila cku natafuta ni wap sehem ya kuppst lakn ciipat.. tafadhaln msaada
  9. AYmemba

    JamiiForums Tanzania Je, Unaiamini Condom?

    ::banghead:
  10. AYmemba

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Kilaza huyo
  11. AYmemba

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu abwagwa kwenye kura za maoni ubunge wa viti maalum Singida

    Jaman me kwetu ndo huko cngda ncngekuwa na frah kma angepta, labda alkuwa anaeckt filam
Back
Top Bottom