Wanaume wengi wanapenda upaja ulio vizuri na mlima ulioinuka. hasa paja ligtskin na nyeupe ile nyeusi ti hamna atakaye ongea nawe alafu ukute hauna kebo.
Baba yangu mdogo ndugu ya baba ameponea kujitia kitanzi jana.mjomba alifanya jaribio jana la kujipiga shoti kupitia umeme. saiv kalazwa ana ugulia majeraha makubwa.tatizo linalo msumbua mjomba ni kuwa ndoa ngumu...
Wanaume saiv kwenye ndoa wanaongoza kwa kuua wake zao.ndoa saiv imejaa uovu tele. watanzania wenzangu tuungane tutokomeze ukatili wa jinsia.wanawake wanahisia na wanafaa kuheshimwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.