Dah, iyo kozi sio mbaya ila bongo connection tu hata ukiwa na degree ya maua
Well, BAES ni course ambayo ina economics and sociology kwa hy unaweza fanya kazi za course hz
*Afisa mipango
*Afisa ufuatiliaji na tathimini
*Business development officer
*Mwalimu wa chuo economics kwa collage n...
Angalizo ukiona una attach kitu halafu ukirud hukioni jua kuwa ulicho attach kina size kubwa kuliko minimum size iliyowekwa kwa mfano attachment ya vyeti inatakiwa isizidi 700kb so ukiweka zaidi ya hy ukiaangalia tena huikuti
the same kwa cv kama ni level ya professional cv isizidi 2mb ila form...
ushakuwa na uhakika nini mwanangu, anyway kozi ni miezi 6, n mshahara usiexpect sana na huwezi pata clear figure, jua mshahara unatofautiana kwa cheo na elimu.. chukuwa hiyo
nina experience ya kufanya kazi private sector, huwa mara nyingi huwa kusa kwao ni kosa hata kamba una perform well 100%ukikosa mara moja km unataka kuua company, first relax fanya kama ni mapito, maana hakuna kosa kubwa yote yana solvika vzr tu.
mfano iyo kutoa risiti kubwa si tatizo ukikosea...
Habri wakuu, moja kati ya manaibu waziri sahihi katika kipindibhiki basi ni Mha. Godfrey M. Kasekenya (naibu waziri ujenzi na uchukuzi) , nimevutiwa na utendaji wake wa kazi hasa kujibu maswali ya waheshimiwa wabunge wa JMT wanapouliza juu ya barabara huwa anazijua barabara zote zikiwa zinapita...
wakuu changamoto yang ni kwamba nimeomba post mbili moja imekubali ku attach kila kitu ila hii ya pili kila niki attach zinatoka inabaki sehemu ya cover latter sasa cjajua kwa kuwa account ni moja watatumia zile zile ama vp....,.msaada mwenye kujua tatizo nini
Doh sisi wengine tumejaza ila tumesahau ku attach passport size kwa hy ndo nishakuwa disqualified ama.... au nini naweza fanya maan post ukishaomba haionekani tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.