Idara ya uhamiaji ipoje?

Idara ya uhamiaji ipoje?

Kuna kipindi walikuwa wanapiga 3months kwa sasa sina hakika kama ni miezi 3 hiyohyo au wameongeza.
 
ushakuwa na uhakika nini mwanangu, anyway kozi ni miezi 6, n mshahara usiexpect sana na huwezi pata clear figure, jua mshahara unatofautiana kwa cheo na elimu.. chukuwa hiyo
 
ushakuwa na uhakika nini mwanangu, anyway kozi ni miezi 6, n mshahara usiexpect sana na huwezi pata clear figure, jua mshahara unatofautiana kwa cheo na elimu.. chukuwa hiyo
Na maafisa wao pia hupiga kozi nyingine baada ya hiyo ya miezi Sita sio!?
 
Back
Top Bottom