Recent content by awuyegani

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    Hotuba za nini? Za mwalimu Nyerere bado hamjamaliza kuzisikiliza. Tunataka vitendo zaidi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

    Kweli ni kero sena. Sasa hivi nimepita maeneo ya raskazoni wamejazana kama ishirini hivi. Wanasababisha trafic jam mchana huu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Nitakufa baada ya miaka miwili au mitatu

    Mungu aendelee kukulinda
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mwanamke aliyepakiwa kwenye gari kama ni mke wa mpakiaji

    Asante kwa kutueleza tabia yako ilivyo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Watoto shule za msingi

    Its true!!!!!!!!!!! watoto wanawahi sana darasani kisa mkakati wa la saba. wanaingia darasani mapema sana na wanachelewa kutoka, Watoto wengine wanaishi mbali na shule na hii inawasababishia usumbufu mkubwa. Ni vizuri hili swala likaangaliwa kwa undani zaidi. Hii nchi sii salama sana
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zawadi kubwa ambayo mwanaume atampa mwanamke ni ipi?

    Ni "kiss" pekeee
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

    nakubaliana na wewe 100%
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti au kijana aliyetendwa kimapenzi anaweza kurudisha upendo kwa mchumba mpya?

    Inawezekana kabisa. Ila msikumbukie the past, na ujaribu kumkeep busy all the time, atarudi na mapenzi atakupa
  9. A

    JamiiForums Tanzania KATEKISTA kumsukuma bibi harusi altalen mpaka kuanguka ni sawa?

    Endelea kusikia
  10. A

    JamiiForums Tanzania KATEKISTA kumsukuma bibi harusi altalen mpaka kuanguka ni sawa?

    Nampongeza sana katekista kwa kazi nzuri aliyoifanya. Hii iwe fundisho kwa wengine
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada. natafuta jina zuri la kike

    Gabriela, Cornelia, Gesina, Wendy, Issabella
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

    Of course yes!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

    Acheni kuchangia hii mada kwani kwa kufanya hivyo mnazidi kuwapandisha chati na wataolewa kwa fujo sana. mimi kaka zangu wawili wameoa wachagga, mmoja marangu na mwingine machame. ni mawifi zangu poa kabisa na ndoa zao zipo gado. Tabia ya mtu haitokani na kabila lake. tumetofautiana. MSIOGOPE...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    Nampenda Lema, nawapenda makamanda wote wa Arusha!!!!!!!!!!! Poleni sana magamba, mliipenda sana arusha lakini ndo hivyo. 4 bila imewahusu. Kaeni mkijua kwamba huu ni mwanzo mapambano yanaendelea Tanzania nzima hakuna kulala mpaka kieleweke. Peoples Powerrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  15. A

    JamiiForums Tanzania Vituko vya January Makamba

    Hayo ni maisha binafsi ya mtu na sioni yanakuhusu nini. kama anafikia hotelini na kazi anaifanya ipasavyo nyumba ya nini? Kuna mambo kadha wa kadha wa kujadili hapa JF lakini sio hayo
Back
Top Bottom