Wadau habarini za mchana,
Kuna uwezekano wa kumtumia mtu game kwenye email then aka download na kuenjoy na kupunguza stress, kwan ndo raha ya magame?
Kama upo naombe mnisaidie kunitumia magame maana ni raha sana kwa wale tunaofahamu. Please naombeni, email yangu ni mjule943@gmail.com
kumekuwa na mapenzi ya mikataba na pia ya kweli bila kusahau yale ya njia kuu na michepuko lakin mapenzi ya kwel bado yapo japo kwa mbali xana je tofauti na tanzania ni wapi true love found
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.