Recent content by Avs

  1. A

    Nataka niuze kitabu changu cha ujasiriamali

    Kwanini usisome na kufanya huo ujasiriamali uliouandika upate pesa za kuchapisha na kusambaza?. Convince wateja wako kwanza kama maarifa yaliyo ndani ya kitabu ni halisi au porojo tupu.
  2. A

    Faida na hasara ya kumiliki gari ya kutembelea

    Gari siku hizi ni basic need. Ukiwa na vyanzo vingi vya mapato automatic vitaweza cover hizo expenses.
  3. A

    Kwenye ndoa watu wanaviziana

    Mwanaume unatakiwa kuwa, Leader, Protector and Provider kwenye familia yako weather mke ana kipato au hana ingawa hakatazwi kukusaidia. Mke akichukua moja wapo ya hizo pillars, umekwenda na mma 😂😂😂.
  4. A

    Sheria kuu 5 kwa mwanaume

    Shule unafungua lini?
  5. A

    Waziri Mwigulu: Kuna Bilioni 48 Wajasiriamali mtakopeshwa

    Wajasiriamali wanateketea na kausha damu kumbe hela zipo
  6. A

    Tundu Lissu asiye na Ulinzi risasi 16 kapona, Ebrahim Raisi mwenye Ulinzi kafia porini. Atukuzwe Mungu wa Israel!

    Mungu wa Israel, Mungu wa isaka na Mungu wa Yakobo ndie Mungu apaswaye kuabudiwa duniani kote.
  7. A

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Magufuli hayupo hai lakini bado anatikisa walio hai wengi tu. R. I. P JPM.
  8. A

    Kadogosa: Asilimia 70 ya Ujenzi wa SGR umefanywa na awamu ya 6

    Hakuna watu wanafiki kama wanasiasa.
  9. A

    Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

    Kausha damu siku hizi wanakuja kwa style nyingi sana.
  10. A

    Hatimaye Boss kaoa

    Watu wanaoa thamani, huyo huyo unayemdiscribe shit ndio amepata kibali kwa boss. Refer Ester vs malikia vashti.
  11. A

    Hatimaye Boss kaoa

    Na haya ndio moja ya maajabu ya Mungu.
  12. A

    Nimtazamo tu

    Hao wengi ni waganga wa kienyeji wenye kujificha kwenye suti. Agenda yao ni moja tu kuiba,kuchinja na kuangamiza kama afanyavyo Baba yao ibilisi tangu zamani. Hawana kukemea dhambi, toba ya msalaba wala emphasize ya maisha matakatifu kwa uzima wa milele. Watakokota wengi kuzimu, kama watu...
Back
Top Bottom