Sikuzote alikua wapi mpaka aseme Leo? Kwani DSM ndiko kwa wapiga kura wake akae huko huko kwa waoigara kura wake wasaidiane kutatua changamoto zinazowakabili. CHAPA KAZI MAKONDA
Imekula kwenu nyumbu nyie aliyepewa na kapewa hata siku moja mwanadamu hawezi kutengua ata kama makonda ataondolewa kwenye urc bado anayo nafasi kubwa ya kuwa kiongozi mkubwa ndani ya taifa hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.