CCM mpo vipande vipande mtaongozaje nchi?

CCM mpo vipande vipande mtaongozaje nchi?

Kawatoe uiongoze wewe nchi hii, maneno yako tu vipande pande. Kama unataka cheo si ukagonge hodi Ikulu au?
Huo ujinga wenu wa kuchanganya serikali na chama chenu ndiyo unatukera wengine. Hapa nimesema CCM sasa Ikulu nikafanye nini?
 
Hivi ww ni marehemu,au uko hai !ccm imemgaragaza nani ktk nn? Huo uvunjaji wa kanuni na taratibu za uchaguzi wa hill bunge uliotafcriwa na mahakama ya Afrika mashariki,umetafcriwa /kutolewa na ccm? Ubabe na uvunjaji wa sheria ndo kugaragaza? Ona aibu ya kauli zako ! Ss unataka kutuongopea kua ccm inamshikamano ? Tena haiko vipandevipande hata mwenye mada yake kakosea,iko chengachenga km za mchele !.nape na kiccm chake,kafumu na kamata kilamtu nakapande kake,bashite na magu kakwao,msukuma kakwake,wacosema,nakuangalia Mpira unavyochezwa nao wanatupande twao.achilia mbali kina Sophia simba na wenzake.weweeeee acha kutufanya tanuyusiligi hapa,kwendauko alah.
 
Sasa ni dhahiri shayiri kwamba Chama Chama Mapinduzi kimegawanyika sana na kile kinachoonekana kama ni utulivu ndani ya chama hicho ni hofu, woga, Mzizimo na kuviziana kwa kiwango cha hali ya juu sana. Sasa chama kilichogawanyika namna hiyo kinawezaje kuongoza nchi yetu kiufanisi?
Tueleze kimegawanyika kiipi sababu ni juzi tu walikuwa na mkutano mkuu na wakatimua wale wa mchana wako huku na usiku wako kule,hizo ni ndoto za mchana ,CCM kamwe haitavunjika sababu eti akina Vuvuzela,msomali ,Riz 1wanapiga kelele za kijinga huko bungeni,na CCM sio ya wabunge tu ni ya Watanzania wakulima na wafanyakazi,CCM sio Chadema Allen,toka umeanza kutunga hadithi zako za Paukwa pakawa kuhusu CCM ,CCM ndio inazidi kujiamarisha wakati wewe unazidi kuzeeka
 
Dah... Watu wajinga hawawezi hata kuvuta kumbukumbu,

Kipi hasa kinachokufanya useme ccm wamegawanyika?

Umesahau walivyo wasulubu chadema kwenye ishu ya wabunge wa EAC? Tena juzi tu hapa?
tatizo hawananaga memory kabisa yaliyotokea tu wiki moja iliyopita wanayasahau😀😀😀
 
tatizo hawananaga memory kabisa yaliyotokea tu wiki moja iliyopita wanayasahau😀😀😀
Kumbukumbu tunayo tena sana, ila vipande vya CCM vipo kitambo sana isipokuwa kinachowafanya nyinyi kuona kwamba CCM ni moja ni yale mabavu ya dola yanayowafanya wana CCM wajikusanye pamoja hata kama si wamoja!

Crimea na mfianchi (Sijui nchi ya wapi) nyie mnatolea mfano zile kura walizopiga wabunge wa CCM dhidi ya Masha na Wenje ndiyo umoja mnaouzungumzia? Leo inasemwa kuwa Neymar na Messi hawaelewani unadhani kwenye mechi hawapasiani? Swali la msingi kutokuelewana kwao hakuwezi kuathiri timu yao?
 
Huo ujinga wenu wa kuchanganya serikali na chama chenu ndiyo unatukera wengine. Hapa nimesema CCM sasa Ikulu nikafanye nini?

Ona ulichonibishia, nasema tena nenda kagonge hodi Ikulu upewe kazi, unajua ndicho unatamani nakusaidia tu kukushaur. so huo ni ujinga!? Me or you?. Hujachelewa kujiunga na CCM yao. endelea labda utasomwa na kuvutwa na wa UKAWA, pigeni kazi kama Mhe. Makonda mfike. Muache wivu juu yake
 
Back
Top Bottom