WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 947
HATUDANGANYIKI TENA HATA MPIGE PUSH-UP NGAPI NA MZEE WA GOLI LA MKONO HAYUPO TENA.
Uchumi wetu unashuka kila kukicha, Mapato yanaongezeka
Kodi kubwa, wafanyabiashara wadogo hawapati faida na wengine wanafunga biashara zao
Gharama ya maisha inapanda, KULA UGALI SIKU HIZI NI ANASA
Usalama wa taifa unapotea, watu wanatekwa
Nchi ya amani>imekuwa nchi ya watekaji
HAPA KAZI TU > SHERIA ZA KAZI MBOVU NA DUNI
Bunge limepoteza imani kwa wananchi, haliwezi simamia HAKI
Vyombo vya USALAMA, Vinatumika kutimiza maslahi binafsi
Vyuoni hamna MIKOPO, Grade zinapandishwa ovyo tena kwa kushitukiza
Uhuru wa HABARI unapotezwa, uhuru wa kuongea na kuhoji na kuuliza haupo tena
Mahakama zinangojewa mpaka zipelekewe kesi
WANANCHI HATUNA USALAMA TENA NA USALAMA UPO KWA VIONGOZI TU.