Kwa wale Mliochaguliwa NIT first Year 2015 tuktane hapa Tupeane UPDATES maana nashanga WEBSITE YA CHUO ipo Down More than 3 weeks .
Hawa jamaa wapo serious Kweli?
KUAMISha mkopo ni kwenda NACTE unaandika barua webyew nacte ndo wana iprocess ..kwenda Helsb maana ukienda helsb wanakwambia nenda nacte ..so hao woote hapo juu naona wanaongea bila kufanya tafiti ..mm nimeenda pale nimepewa maelezo
Kama haujafanya upembuzi wa POLITICS za tanzania kwa hivi vyama vikuu viwili CHADEMA NA CCM basi utakuja na maswali kama hayo kila siku mtoa post
??earnest business not politics anymore
Tatzo hamfanyii tafiti .mnapost tu ..angalia hii ni season gani?? Mpka ukutane na wanyama kando kando mwa barabara??
Kwa ushaurii wako kafanye utalii ndani pale ulipie uingie ndani ndo urekebishe thread yako .siungi mkono hoja
Jamn msidanganyane ..kama ulichaguliwa Udsm na mpaka sasa haujaona jina lako basi ujue umekuwa REJECTED na UDSM cha kufanya nenda nacte kaangalie pale kwenye notice board yao kama upo confirmed na UDSM kama jina lko halipo unaingia ndani ya office pale ndo kuna majina na COURSE uliyochaguliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.