watu wengine bwana sasa hili ni suala la kujivunia kweli? unampigaje mwanamke ambaye hata hujamuoa? wanawake kweli mna kazi yaani mtu hajakuoa then anakupiga, yaani mimi ningekuwa mdada katu nisingekubali kuonewa na wanaume wa aina hii.
huo ndo ukweli wenyewe, kama wadada wote wangeweka misimamo y kutojirahisisha kwa wanaume, basi malalamiko mengi yaliyopo mkwenye mahusiano ya wat u kuumizana yasingekuwepo,
Habari ya asubuhi wadau, kama thread inavyosema am a man of age btn 30 and 34 nahitaji rafiki
au marafiki wa kike kw ajili ya kudiscuss mamambo ya maisha kwa ujumla na mitoko ya out na kupeana kampani,
NB, 1)Sitafuti mke labda itokee tu tumependana tukaamua iwe hivyo
2) in case...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.