Mabikra 72 ni anasa kama anasa zingine, zinaa kuu..uko itakua ni mbingu ya ufuska..utumwa wa ngono.
Tafakari kila mwanaume akipewa bikra 72..atawatimizaje mahitaji yake. Hii ni uwongo
Haya maswala wanafundishwa toka utotoni so kuua ni jambo la kawaida kabisa kwao..Je ni dini gani hio inasema...
Daily routine
No sugar 50%
No red meat 100%
No salt 100%
No protein 50%
Wanasema uzee ni baraka
Ila ukiwa mnene wa ovyoovyo unaonekana una umri mkubwa tofauti na uhalisia.
Toka 85Kg
Mpaka 74Kg
Ni bongo tu ukinenepa unaonekana una afya nzuri na pesa.
Ukipungua wanashangaa wanahisi unaumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.