Wakuu naomba ushauri ajira nataka nikajaribu kuomba dili kwenye yard za magari niwe natafta wateja kwa kupost picha na specifcation zake
....then nikpata mteja nampeleka wakipatana nakatiwa percent kidogo...maana ajira ngumu...naomba ushauri kwa wenye uzoefu na biashara ya mtandaon......AHSANTEN
habari dr
last time niliuliza swali sijapata jibu hadi leo......narudia huenda leo sitadharauliwa
nilifanya mapenz na mpenz wangu after one wiki nikawa nasikia maumivu makali wakat wa kukojoa na na ute mweupe unatoka sehem ya kukojole....pia muda mwngine nasikia maumivu hata bila kukojoa je nn...
dr habariiii............nilifanya mapenzi after one week naona kichwa cha uume kinauma na ute mzito mweupe unatoka ....tafadhali itakua ni nn??? na dawa gan inapaswa nitumie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.