Asante kwa maoni yako ila sijasema kuwa jina la OS lenyewe litakua Swahilinux, Jina la Mradi ndio Swahilinux (Labda sikueleweka) kuna njia mingi za kuafikia jina litakalotumika na ifikapo wakati huo tutakua na jibu sahihi. Natumai kuwa watu wote watatuunga mkono na kuisherekea lugha yetu ya...
Kwa sasa, Swahilinux ipo kwenye hatua yake ya kwanza kati ya hatua nyingine nyinge, hatua hii, ni tafsiri. Baada ya kuwa na programu za kutosha katika lugha ya Kiswahili, basi tutaweza kuendelea na hatua zingine ambazo kwa sasa tunazifanya ila kwa mchango mdogo. Swahilinux itakuja kama distro...
Kiswahili ni kimoja, Kiswahili chetu si kibaya, watu ndio wenye kupenda utohozi, ila ukienda pwani utapata kuwa Kiswahili cha Kenya na Tanzania ni sawia. Na ni kwa ajili ya hili ndiyo maana nawaomba muweze kuchangia ili kuhakikisha kuwa tunatumia lugha sanifu.
Salamu kwenu wote.
Jina langu ni Jeremiah Rotich, kutoka nchi ya Kenya. Ningependa kuchukua fursa hii kuwatangazia kuwa nimeanzisha shirika/ mradi linalowania kutengeneza Mfumo wa Matumizi (Operating System) kwa lugha ya Kiswahili. Wengine wenu mnaweza kuwa mnafahamu uwepo wa kilinux...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.