Yatambue maneno haya kwa Kiswahili

RASHEEDMTOI

Member
Apr 13, 2015
85
68
The Kiswahili lesson you missed.
1. password- Nywila.
2. juice - sharubati.
3. chips - vibanzi.
4. PhD - uzamifu.
5. Masters - uzamili.
6. Degree - shahada.
7. Diploma - stashahada.
8. Certificate - Astashahada.
9. keyboard - kicharazio.
10. scanner - mdaki.
11. Flash disk - diski mweko.
12. Mouse - kiteuzi.
13. Floppy disk - diski tepetevu.
14. Computer virus - mtaliga.
15. Distillation- ukenekaji.
16. Evaporation - mvukizo.
17. Synthesis- uoanishaji.
18. Oesphagus- umio.
19. Green house - kivungulio.
20. Femur - fupaja.
21. Germ cell - selizazi.
22. Humus - mboji.
23. Nector - mbochi.
24. Nector - Ntwe.
25. Nutrients - virutubisho.
26. Appetizers - vihamuzi.
27. ATM - Kiotomotela.
28. Bussiness card - kadikazi.
29. scratch card - kadihela.
30. simcard - kadiwia/mkamimo.
31. memory card - kadi sakima.
32. micro wave - Tanuri ya miale.
33. Laptop - kipakatarishi.
34. power saw - msumeno oto.
35. Duplicating machine - kirudufu.
36. photocopier- kinukuzi.
37. cocktail party - Tafrija mchapulo.
38.Air conditioner- Kiyoyozi.
39. lift- kambarau.
 
Asante chief..kiswahili ni ngumu. Tanuri ni nini? maana hapo juu nimeona tanuri ya miale
BJ, mpendwa tanuri ni neno la kiarabu maana yake ni pango lenye moto au shimo lenye moto..Lakini kimapishi (hubanika mikate/bakery) ni jiko lililojengewa kwa udongo kama Eskimo house Ona pics hapo chini:-
upload_2016-5-15_17-8-9.jpeg
upload_2016-5-15_17-8-37.jpeg
images
 
The Kiswahili lesson you missed.
1. password- Nywila.
2. juice - sharubati.
3. chips - vibanzi.
4. PhD - uzamifu.
5. Masters - uzamili.
6. Degree - shahada.
7. Diploma - stashahada.
8. Certificate - Astashahada.
9. keyboard - kicharazio.
10. scanner - mdaki.
11. Flash disk - diski mweko.
12. Mouse - kiteuzi.
13. Floppy disk - diski tepetevu.
14. Computer virus - mtaliga.
15. Distillation- ukenekaji.
16. Evaporation - mvukizo.
17. Synthesis- uoanishaji.
18. Oesphagus- umio.
19. Green house - kivungulio.
20. Femur - fupaja.
21. Germ cell - selizazi.
22. Humus - mboji.
23. Nector - mbochi.
24. Nector - Ntwe.
25. Nutrients - virutubisho.
26. Appetizers - vihamuzi.
27. ATM - Kiotomotela.
28. Bussiness card - kadikazi.
29. scratch card - kadihela.
30. simcard - kadiwia/mkamimo.
31. memory card - kadi sakima.
32. micro wave - Tanuri ya miale.
33. Laptop - kipakatarishi.
34. power saw - msumeno oto.
35. Duplicating machine - kirudufu.
36. photocopier- kinukuzi.
37. cocktail party - Tafrija mchapulo.
38.Air conditioner- Kiyoyozi.
39. lift- kambarau.
37. cocktail party - Tafrija mchapulo.
HAYO MENGINE SINA SHAKA NAYO,ILA HII COCTAIL PARTY NI MCHAPALO KWA KISWAHILI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom