Recent content by Auson Jasson

  1. A

    JamiiForums Tanzania Serikali yazifungia rangi za midomo "Lipstick" za Wema Sepetu

    Sawa,lakini mlizipitisha wenyewe. Na je, watu ambao wameishazitumia mtawafidiaje kwa madhala waliyoyapata maana mnasema hazifai kwa matumizi ya binadamu. Tukumbukeni taifa litajengwa na upendo, umoja,mshikamano na amani kwa faida ya watanzania wote Wa sasa hata vizazi vijavyo bila kujali rangi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Violet Mzindakaya amefariki

    R.I.P
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Mlimani City Project: PAC yamtimua Makamu Mkuu wa Chuo cha Dsm Prof.Rwekaza Mukandala na watendaji wake

    PAC, imemtimua kutoka wadhifa upi ?? Sentensi ya mtoa mada ni tata, mwanzo -mwisho.
  4. A

    JamiiForums Tanzania LESOTHO: Kamanda wa Jeshi auwawa kwa kupigwa risasi na wanajeshi wenzake walioachishwa kazi

    Pumzika kwa amani Kamanda. Utakumbukwa kwa kazi kubwa ya ulinzi wa usalama wa raia wako.
  5. A

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Watoto wawili kati ya wanne waliokuwa wametekwa wapatikana wakiwa wamekufa

    R. I. P watoto, tumuombe MUNGU awapokee kwenye makao yake ya milele. Lakini naziomba mamlaka husika kumchukulia hatua kali muuaji huyu ili tabia kama hizi zikome kabisi.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamama Peggy Whitson aweka rekodi ya kukaa nje ya dunia muda mrefu kwa Wamarekani na Wanawake wote duniani

    Very interesting as well as encouraging investigation. I actually appreciate hardworking people like these scientists. Congratulations.
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    HHii dalili ya ukuaji wa siasa na demokrasia barani Africa.Hongera sana wakenya.
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    HHama kweli, demokrasia ya Kenya imekomaa. Hizi ni dalili za kukuwa kwa demokrasia na siasi barani Africa
Back
Top Bottom