Jamani,uongozi ni sehemu tu ya majukumu,siyo kwamba viongozi wanaakili sana kushinda watu wote,Dr huthibitisha tatizo la mtu,je polisi wanapima afya ya watu siku hizi?Mwakembe anaumwa nini,waseme,polisi hawawasemei wataalamu wa afya,tunaweza amini ni kwelilisemwalo.