Recent content by Auncle T

  1. Auncle T

    Zifahamu nguvu ya sheria za siri za ulimwengu

    iyo karma inatumika kwa mtu mmoja mmoja au ata kwa jamii nzima kwasababu tumeshuhudia jamii za watu weupe (ulaya na America) wakiiba Mali ka kuua waafrika wengi na bado yanaendelea katika Kila nyanja uku waafrika wakiendelea kua Kama laana duniani
  2. Auncle T

    SoC03 Uwajibikaji kama kijana kwenye biashara ya viatu jinsi navyoenda kutimiza ndoto zangu

    Amaa kweli kosea nyumba Si jiko waswahili walisema, wakati wengine wakipewa moyo na mashauri yenye tija mara baada ya kuyumba kiuchumi na wenza wao Kuna sisi tuliokimbiwa na kudhihakiwa na wenza baada ya kushuka kiuchumi [emoji24][emoji24]
  3. Auncle T

    Rais Samia na Dkt. Tulia wajengewe sanamu

    “Afrika bara la Giza” dark continent, kwa akili izi açha muafrika aitwe nyani tena atupiwe ndizi zilizooza
  4. Auncle T

    Roho ya utambuzi (Spiritual Discernment)

    Rc Roman Catholic
  5. Auncle T

    Roho ya utambuzi (Spiritual Discernment)

    Izo nguvu za kiroho unazitambua vip?? Unazitumia vip?
  6. Auncle T

    Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

    broo apo nafasi ya internship naweza kupata?? kwa idara ya water quality
  7. Auncle T

    Ulimwengu wa roho upoje?

    Mimi na swali apo Je ukiwa katika kundi namba mmoja1 kuna uwezekano wa kuhama na kwenda kundi jingine? Pili kati ya makundi hayo ni lipi lenye mamlaka juu ya kundi jingine Tatu ni njia zipi ninaweza kuzitumia ili nitoke kwenye kundi namba tatu?
  8. Auncle T

    Kuuza migodi mitatu kwa dola milion 630: Je, ni reincarnation ya Chifu Mangungo wa Msovero?

    Mitazamo Imani na misimamo ya namna hii kwa watu weusi ndo mwiba wa Afrika
  9. Auncle T

    FURAHA! Wape furaha

    Binafsi kumwondolea kiumbe yoyote yule huzuni ni sehemu ya furaha yangu ...
  10. Auncle T

    Napenda kutongoza, nayachukia mahusiano

    Kabisaaa naisi psychologia yangu haipo sawa make naishia kununua dada poa au nimerogwa [emoji856]
  11. Auncle T

    Napenda kutongoza, nayachukia mahusiano

    huo muda wa kuriply mambo ya kijinga unautoa wapi ivi maisha yamekua rahisi kiasi hiki?? au vitu vya kuvumbua vimmeisha
  12. Auncle T

    Napenda kutongoza, nayachukia mahusiano

    Nawasalimu kwa jina la JF. Mimi ni kijana undergraduate chuo x Kama Title inavyo jieleza. Nimejikuta ni mtu ambae NAPENDA sana kuwatongoza mabinti asa wanachuuo wenzangu na kitu cha kushangaza wengi hujikuta wakinaswa na timing Zangu. Shida inaanza pale tu wanapoanza kuonesha dalili ya...
  13. Auncle T

    Ulianzaje kukaa gheto?

    [emoji23] karume zipo
Back
Top Bottom