Recent content by Auncle Ajay

  1. Auncle Ajay

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    <Kwa Niaba> MIMI NI MWALIMU WA SEKONDARI MANISPAA YA ILEMELA MKOA WA MWANZA NAFUNDISHA SOMO LA GEOGRAPHY. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE, YEYE AJE MANISPAA YA ILEMELA NA MIMI NIJE ARUSHA JIJI. MAWASILIANO 0769178228.
  2. Auncle Ajay

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa niaba: NJOO SUMBAWANGA DC RUKWA AJE MOSHI AU ARUSHA WILAYA YEYOTE IDARA SECONDARY SYANSI
  3. Auncle Ajay

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa Niaba: Njoo Halmashauri ya Mji wa Nzega nije Misungwi Mwanza idara secondary science. Aliepo seriuz contact 0765340236
  4. Auncle Ajay

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Nzega mjini aje Geita manispaa idara sekondari, masomo ya sayansi. Ambaye yupo seriuz nichek 0765340236
  5. Auncle Ajay

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Nzega Tabora nije Arusha au kilimanjaro, idara sekondari science. 0765340236
  6. Auncle Ajay

    Wanaomba ajira TAMISEMI kwa mfumo wa ''OTEAS'' tukutane hapa

    Chubguza kwa umakini kama umejaza kla ktu, refresh page anza upya kuzaa tena
  7. Auncle Ajay

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Nzega Town, idara secondary nataka nirudi Arusha Meru au arusha Dc. Aliepo serious anichek PM
  8. Auncle Ajay

    Harusi ya mdogo wangu ilivyochukua wazazi na ndugu zangu wote

    Pole Sana ndugu,Mungu akutie nguvu Katika kipindi iki kigumu unachopitia. Usikate Tamaa na maisha, yote mwachie Mungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Auncle Ajay

    Binti wa miaka 12 aliyepata mimba kwa kubakwa, ajifungua

    Inasikitisha sana, vyombo usika vichukue atua stahiki maana hii haikubaliki kabisa katika jamii. Huyu mwanaume naye aliyefanya Icho kitendo sidhani kama ni mzima akili au ndo tamaa za kijingajinga.
  10. Auncle Ajay

    PSPF jirekebisheni, igeni kwa wenzenu LAPF

    Kweli uduma za PSPF ziko slow sana compare na LAPF.
  11. Auncle Ajay

    Msaada wa haraka, NACTE wamenichanganya akili

    Wala usipate tabu, nenda my profile, then chini click change category then follow the steps. Weka category ambayo ulitaka ww then endelea na application as usual.
  12. Auncle Ajay

    Jamani ntaipataje user name na password yangu

    Mwenyewe nkwafanyia application madogo zangu kama watatu hv ni mmoja tuu nilipata username na password wametuma kweny email, zingne zimekaa ni siku ya sita hamna kitu kila mara nacheck email kwenye span massage hakuna kitu. IT wa NACTE ni jipu Kwa kweli!
  13. Auncle Ajay

    Je NACTE wamefunga system yao?

    Kiukweli NACTE ni wababaishaji sana. Deadline 5th August..... Mara system closed 03/06/2016 wanatia hasira sana sometime.
  14. Auncle Ajay

    Msaada: M-pesa Confimation code inakataa NACTE

    Yah, nao pia wanaingilia hapo hapo isipokuwa tuu wao wanaomba courses zunazowausu.
Back
Top Bottom