Recent content by auguvale

  1. A

    Cheque namba Utumishi wa Umma

    Cheque namba Utumishi wa Umma Cheque namba Utumishi wa Umma Mwenye uelewa na cheque namba za utumishi wa umma znatolewa baada ya mda Gan?Nmerport kazn tang mwenz wa 10-2015 nmeambiwa nsubr cheque hadi saiv miez 4 npo home!
  2. A

    Kwa Hili wakidhalaurika msiwatetee kabisa!

    wewe jamaa naamini IQ yako ni kubwa sanaaaaaaa
  3. A

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    ha ha ha haa,na STAR TV wamezima......
  4. A

    Cheque namba Utumishi wa Umma

    Duh,kama mchakato utakuwa na urasimu huo,itakuwa hatari.,but sio mbaya wacha tuendelee kusubiri....Asante sana Great thinker Pohamba kwa mchanganuo wako,you seem to know these issues so well .........however ningepata experience ya tutorial assistants wa UDOM wao ilikuwaje,ingekuwa poa sana.....
  5. A

    Cheque namba Utumishi wa Umma

    oh,kumbe ni kwa watumishi wote wa serikali utaratibu ni huo...mie nafasi ya tutorial assistant UDOM niliripoti,nikajaza documents zote,ila wakasema hapo kwenye tarehe ya kuanza kazi,niache nisijaze hadi cheque number ikitoka watanipigia simu,am still waiting.
  6. A

    Tutamkumbuka sana Mhe.Zungu Kama Mwenyekiti wa Bunge

    Andrew chenge :Mwenyekiti kamati ya sheria ndogo ndogo,Mary mwajelwa mwenyekiti Ardhi,Mali asili na utalii,Najma Murtaza giza M/Mwenyekiti katiba na sheria
  7. A

    Tutamkumbuka sana Mhe.Zungu Kama Mwenyekiti wa Bunge

    kuwa mwenyekiti wa Bunge ni lazima kwanza uwe mwenyekiti au makamu mwenyekiti wa kamati yoyote ya Bunge.
  8. A

    Cheque namba Utumishi wa Umma

    Ndugu wewe kama mimi,am still in waiting ,tangu mwezi wa kumi na moja,,,,,,waliniambia watanipigia simu
Back
Top Bottom