Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Vizuri havidumu,Tutammiss sana Mwenyekiti wa bunge la 10 Mhe.Zungu kwa umahiri wake alipokuwa anakalia kiti bungeni na kuongoza bunge kwa weledi.
Nemestushwa sana na habari za Zungu kukosa nafasi ya Mwenyekiti wa bunge.Bado najiuliza ni sifa zipi zinatumika kumpata Mwenyekiti wa bunge ambazo Mhe Zungu amezikosa?