Recent content by Augustino Fanuel Massongo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya taa kwenye msosi shule za bweni, ni kweli yanapunguza nyege?

    Zoezi hili mara nyingi hufanyika ktk shule za bweni za wasichana ili kuwapunguzia msongo wa sexual hormones ambazo zikizidi mwilini huweza kuwasababishia mfadhaiko uitwao HYSTERIA.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kiwanda kipya cha sigara,Kingorwila Morogoro ukweli ni upi?

    Nchi za dunia ya kwanza wanafunga viwanda vya sigara na kuzindua karakana za missiles.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kiwanda kipya cha sigara,Kingorwila Morogoro ukweli ni upi?

    Mbona huko duniani watu wanazindua viwanda vya kutengeneza makombora?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ajira za vyuo vikuu kwa kigezo cha GPA kubwa ni kubugi

    Craming capacity ndio nini?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Watu wanapiga picha karibu na lava, je haina madhara?

    Iliyobado ndani chini ya ardhi ktk muundo kama uji wa moto ni MAGMA na ikilipuka na kutoka nje ya ardhi na kuanza kutiririka sambamba na moto hiyo ni LARVA.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa vipi kama Interahamwe na FAR wange washinda RPF?

    Sio tu Watutsi waliokuwa Burundi kulipa kisasi lakini pia mpaka wakati wa mpango huo wa genocide miongoni mwa jamii ya Wanyarwanda Watutsi ndio wanaoongoza kwa idadi kubwa ya Diaspora duniani na hata East Africa zingatia brotherhood kama ya Wanyankole ilivyo na nguvu huko Uganda na Congo DR na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma sasa kwisha

    Sawa lakini kumbuka Rais ni head of State.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma sasa kwisha

    Sababu mabilioni ya miradi na hasa ya maji yameliwa karibu nchi nzima na kwa sehemu kubwa wahusika ni wao." Ukicheka na nyani utavuna mabua ".
  9. A

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma sasa kwisha

    Mbona unaeleza na kufafanua hata zaidi ya yale aliyosema Rais? Ameagiza Mawaziri wa Tamisemi, Ardhi na Katibu mkuu kiongozi wakutane ili kuweka utaratibu rasmi wa utekelezaji wa agizo lake, lakini lengo kuu ni kuwadhibiti kinidhamu wataalamu hao wanapokiuka utaratibu bila kusubiri vikao vya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo kuhamishwa kupisha kituo cha mabasi ya Mwendo Kasi

    Watu wasomi na taaluma zao wamewekeza na kujenga yard ya multi-million ktk natural drainage ya jangwani halafu unasema vipi natural calamities hazikwepeki?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kuhusu uwepo wa samaki mtu (Mermaid), Dragons na Vampires?

    Kwa tafsiri nzuri shin'gwen'ngwe ni ZIMWI au Monster.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wanamazingaombwe kina Profesa Singira, Muhindi Mchafu etc

    Duh!! umenikumbusha GUBITI pipi (Lolipop) za kienyeji.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ubaguzi wa ajira kwenye Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

    Ni wapi penye ajira isiyo na demand ya loyalty? hiyo ndio moja kati ya criteria ya muhimu ktk ajira yoyote.
  14. A

    JamiiForums Tanzania CAG ni Mkaguzi tu, si MDHIBITI

    Kweli kabisa na hata hiyo nafasi ya Auditor General imepata meno kiasi fulani baada ya mashinikizo toka kwa mashirika ya fedha ya kimataifa na nchi wafadhiri, vinginevyo nafasi ya Auditor General ktk nchi za kiafrika ni kama OBSERVERS tu.
Back
Top Bottom