johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Hapo ndipo Kafulila anasema CAG anapaswa kujua fedha zinapotelea wapi??!Kwa ripoti yako kila mwaka kugubikwa na madudu huko Halmashauri na taasisi za Serikali na hakuna kinachofanyika baada ya hapo mpaka uje na ripoti nyingine (mwaka unaofuata) ya madudu yale yale ama kuzidi! Ni sahihi kukuita wewe ni MDHIBITI? kwa lipi? Nafikiri ungebaki na AUDITOR GENERAL (AG) tu ingekuwa poa mno.