mkuuu umeongea pointi sana,, yaani wankera mpaka basi, yaani changamoto ni zilezile watu walewale na abiria walewale lakini hawajifunzi, machine za kuscan ticket zinaharibika wanaangalia tu, unakuta kituo kizima kuna machine mbili tu zingine zimeharibika na wanaona, tatizo wafanyakazi wa kuokoteza awana elimu yyte hata hawajui umhimu wa wateja, madereva nao ndo fyongo kabisa, yaani sijui wanafikiri watu wanasafr bure.Watz huwa tunajiangusha wenyewe,sijui shida nn jambo serikali yetu ujitahidi sana kuonyesha uzalendo kwa kutubeba kwenye miradi mingi dhidi ya washindani wa nje kila sehemu tunaboronga ukilinganisha na wa nje check hata TBA nk,sehemu nyingi tunashindwa.Naona wapewe tu hao wa nje tuone ufanisi wao nao,sasa kama udart wamepewe kila kitu na wameshindwa kujiongeza hata kukarabati miundombinu kuna washinda check hata vinguzo vidogo vimegongwa na gari baadhi ya sehemu vimelala kuviinua haigharimu hata elf tano,vituo vinafunguliwa upande mmoja inabidi urudi nyuma ukitaka kutoka, hawana fleet management mfano kujua midaa hii tuweke nguvu kwenda uelekeo upi abiria wanaelekea,jangwani hakufai wakati wa kiangazi wana acha mabus yanaharibika na maji hata kuyatoa tu wakayalaze vituoni hawawezi, hakuna motisha kwa staff wao,mabus kujaza kupita kiasi nk.Wapewe wenye kuweza kuendesha mradi.
Simon Kisena.Wasalaamu,
Binafisi ninawajua hawa jamaa wanaojiita SIMON GROUPS, ambao ndo walishinda hii tenda ya kuendesha mradi wa magari yaendayo haraka.
Lakini historia iko wazi huyu jamaa SIMON KISEMA, ambaye ndo mkurugenzi wa hii kampuni anafahamika, aliawahi kupewa Gineries za malampaka huko maswa, aliiendesha kwa mda mfupi sana zikamshinda na mpaka leo kiwanda kimebaki magofu.
Pia kama sikosei mwanza alikuwa na kiwanda cha mafuta nacho kilifia mikononi mwake, mwaka 2006 alijenga kiwanda cha kusindika pamba nacho kilikufa kibudu, na baadae akakimbilia DAR.
Ukienda nyumbani kwake watu wengi wanalalamika kawazulumu, C point yangu ni vigezo gani vilitumika kumkabidhi huu mradi wa mabilion ambao unatumiwa na mamilion ya watu, kama alishindwa kuhudumia watu wachache huu mradi atawezaje.
Mimi sina tatizo sana na yeye kupewa tenda lakini kinacho udhi ni huduma mbovu ,magari hamuna watu wanalalamika kila siku lakini wafanyakaz wake hawajari, tunataka Serikali igawe huo mradi hata kwa watu wengine labda inaweza kuongeza tija.
Ukiwauliza saa hivi wanasma magari yameingia maji, sasa unajiuliza hawa watu wako sawsawa, mvua zinanyesha kila siku utaanzaje kupark magari pale ambapo kila siku kuna jaa maji kwa nini wasitafte parking ya mda?.
Nitarudi