Hili tangazo nikichekesho tu lakin in reality si kwel.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu flan cha Tanzania ninasoma BA(ED) wakati ninafanya field katika moja ya shule za sekondari Dar nilikutana na kioja kimoja ilikuwa hivi "katika jiji letu tuna tatizo la daladala siku hiyo nilimwomba konda...
Ukweli ni kuwaaa CCM sasa bila mabavu hawawezi Sisi tumeshuhudia wenyewe eti kura 862 zimewaangusha CHADEMA hili la wap? ni uongo mtupu
Watakoma 2010 shangazi
Jaman Watanzania sasa tumesoma wote tunaweza kuelewa kizuri na kibaya.
Mzee kingunge keshaona jinsi mambo yatakavyokuwa kwa CCM mwakani,kama inaonekana Wakatoliki wamekosea SHERIA si zipoo wazifuate.
Mimi ninaona anachotaka kufanya nijisi ya kuonekana kuwa na yeye amechangia hoja tu kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.