Recent content by AUDITOR OF MAFISADI

  1. A

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO MFANYE KAZI KWA WELEDI NA KUJALI MASLAI YA MWANANCH MSIFANYE KAZI KUFURAHISHA SERIKALI.........MNATOA BILL TOFAUTI TOFAUTI KATIKA ENEO MOJA MARA HUYU YUPO REA HUYO HAYUPO REA........LALAMIKO HILI NI KUTOKA KATA YA OLTUROTO-ARUSHA DC TUMELETA MALALAMIKO HAYA HADI OFISI YA MENEJA MKOA WA...
  2. A

    Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

    kwa mawazo yako ni shujaa....ila kwa wengi wetu sisi hana jipya ni wale wale tu...............wanataka Nchi kwa tamaa ya madaraka na sio kwa maendeleo.
  3. A

    GE2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

    HATA UKIJA UNAKUJA KAMA MSAFIRI MWINGNE TU ..................HUNA JIPYA LAKUTUAMBIA..............USHAPOTEZA DIRA YA SIASA.......KAWAONGOZE NG'OMBE NA FAMILIA YAKO TU.
  4. A

    GE2020 Je, Godbless Lema atagombea tena Arusha au anahamia Hai?

    Lema asipoteze muda wake bure.....afyte mkia arudi tu Moshi kijijin akalime mahindi.....tunataka maendeleo kwa sasa sio vurugu ambazo hazijengi chochote na kukosoa kila siku ukiamin wewe unajua sana kuliko wengne........jimbo wanachukua CCM na sio Arusha mjin tu bali ni majimbo yote...
  5. A

    Godbless Lema: Pesa aliyolipwa Bilionea Laizer ni pungufu sana, ungefanyika mnada angelipata karibia mara kumi ya alicholipwa

    HUNA JIPYA.....HIZO KELELE ZA CHURA TU......AJIPANGE KWENDA KULIMA KIJIJINI KWAO...UBUNGE ARUSHA BYE BYE HATUTAKI WABUNGE VILAZA TENA TUNATAKA MAENDELEO SASA
  6. A

    Funzo: Rais Pierre Nkurunziza pesa ameziacha

    Usihukumu usije ukahukumiwa......Nkurunziza kafanya mazuri yake Burundi.....Kifo ni moja ya ahadi toka kwa Mungu pengine wewe usife hata mchana huu wa leo.......Watch out.
  7. A

    GE2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

    Hana jipya awadanganye nyie wajinga wenzake,sasa Lissu ye ni nan tukae tunasilikiza? Si bora niende kulima mboga mboga zangu tu.
  8. A

    Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

    KOSA LA RAISI HAPO NINI SASA,NA SERIKALI IMEJITAHIDI KUCHUKUA TAHADHARI ZOTE? LETE HOJA ZA KUREKEBISHA NA SIO KUMKOSOA RAISI WETU BILA SABABU YA MSINGI.
  9. A

    Hoja ya kwamba 'Mbowe aendelee na uenyekiti sababu CHADEMA bado changa' ni kuwafubaza wafuasi

    MILLIONI 10 MLIZOGAWANA ,CCM MNAFANYA BIASHARA GANI,KWANINI MSIGAWE KWA WANANCHI WOTE Nawasilisha
  10. A

    Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Jamani kumekuwa na maneno mengi kuhusu utabiri wa TB JOSHUA kuwa lowassa ndie RAISI WA TANZANIA 2015 MWENYE USHAHIDI WA VIDEO AU WA AINA YOYOTE AWEKE HUMU KAMA HUNA KAA KIMYA
  11. A

    CCM: Maisha bora kwa kila Mtanzania yapo wapi?

    UKAWA naomba katika mikutano yenu waulizeni wananchi kama wana maisha bora mfano''mmepata maisha bora kwa utawala wa Ccm?
Back
Top Bottom