Recent content by Audax pontian

  1. A

    JamiiForums Tanzania Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

    Hvi ww mtoa mada naona una mapungufu ya akili kwanza kwenu wap acha upuuzi ulitaka aweke wap hzo taa wakat hzo zinawekwa na halmashaur heb wivu wa kipuuzi na ushabik usiokuwa na maana...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuhusu Prof Lipumba kujiuzulu, haya hayakusemwa bayana !

    Anaweza kuwa ni msaliti ndani ya chama na kuna tetesi ambazo zinasema kuna uwezekana lipumba kuhamia ACT Wazalendo ngoja tuone mwisho wake ni upi..
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

    Ni mawazo mazur pia ila sion kama uzi wako unajitosheleza et ubaki kama historia ongezea kidogo labda itavutia..
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naomba samahani kwa niaba ya wafanyakazi wa Tanzania!

    Jinga-lao yaani umeota ukaamua kuandika hvi ww kama nan au anufanya wap kaz mpaka upate ruhsa ya kuandika hv?? Jibu tafadhar...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Hujachelewa, njoo ACT-Wazalendo uwe mgombea wa urais achana na mafisadi

    Hahahaha mnafkiri dr slaa ni mwepes namna hyo kuja act labda baadae sana anapmzka kwanza...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na mwanamke, kanitoroka

    ndg yng hekimatele hili swal lingepata majb jukwaa la siasa siyo hmu???
  7. A

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni majina yenye bahati,mvuto na hodari 100% ktk suala zima la ndoa na sexy pia

    Ni mawazo yako bas hata hayana maana...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Swali Lisiloulizwa: Ikitokea Hivi Itakuwaje kwa Mgombea Urais CHADEMA?

    nihurumia anashndwa hata kuonyesha ishara ya vidole viliwi juu kwa nguvu dah mzee huyu anatia hurumu siyo siri na hata hatma yake itakuwa vp endapo kama akishndwa uchaguzi huu
  9. A

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ni maneno ya mtaan tu so hayana maana sana....
  10. A

    JamiiForums Tanzania Asante JF sasa kila sehemu nikipita lazma ning'ang'aniwe

    Dah kweli jf kuna watu wanafaa wapewe vyeti na ww pia kinakufaa kuwa mwanafunzi bora yaan tang 2011 had leo ndo umehitmu hongera sanaa inabd ufunye na graduation....
  11. A

    JamiiForums Tanzania Asante JF sasa kila sehemu nikipita lazma ning'ang'aniwe

    Dah kweli jf kuna watu wanafaa wapewe vyeti na ww pia kinakufaa kuwa mwanafunzi bora yaan tang 2011 had leo ndo umehitmu hongera sanaa inabd ufunye na graduation kabsa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kweli Kiwango cha soka kimeshuka Mno

    Nimefurahi walau umebadili mada dah maana ni siasa tupu nw mpaka inachosha sasa.. Swala lako naona hapo baadhi ya makocha huchugua wachezaji jinsi watakavyo wao ila c ubora wa mchezaji hili ndo linaifanya timu yetu ya taifa kuwa hvi mpka sasa kwa sabab ya upuuzi wa baadhi ya makocha wamekuwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Vilio, simanzi na majonzi vyatawala Rulenge Ngara kuaga Mapadri waliokufa kwa ajali

    Mungu awalaze marehemu wote mahali pema peponi ameen..!!!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nimepaliwa na kifupa cha samaki

    Mkuu meza tonge kubwa kavu au jitwishe sifuria au chungu kichwan ila iman yako itakuponya..
  15. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuhamia CHADEMA na kugombea Urais: Ni Ulaghai, Unafiki na Uzandiki Uliotukuka

    Uchambuzi yakinifu tunashukur kwa hlo walioelewa wamekuelewa....
Back
Top Bottom