Nilikua na Mwanamke , nikamtolea mahari kama wewe ulivyotolewa. Tukabahatika kupata watoto wawili.
Tumeshindwa kukaa pamoja kwasababu ya tabia na mienendo michafu ya huyo mwanamke.
Akang'ang'ania kukaa na watoto nikamuachia....lakini haikuchukua round watoto nao wakaanza kumkataa kutokana na...
Ujue nyie wanawake kinachowaponza ni ubestie....yani unakuta umeolewa vizuri tu....lakini marafiki zako ukaona wao ni wa muhimu kuliko mumeo au familia yako.
I mean,....kujazwa na maneno na marafiki...kisha unaanza kudharau Ndoa yako....kutomheshimu mumeo...uzinzi wa wazi kabisa.
Afu ujue ...
Ni vigumu sana kuishi maisha matakatifu pasipo kuwa na MAARIFA, UFAHAMU na HEKIMA.
Na ukisema kuwa kuishi kitakatifu ni kutokutenda dhambi. Ni Sawa na kujidanganya mwenyewe na tena bado unakua haujaijua kweli.
Kwani wewe huwezi tu kusema anapopatikana kama ushampata utuambie tuteleze kwenye ganda la ndizi....
#Ninachojua Mimi Mungu sio mchoyo
Acha uchoyo Blaza...tuambie na sisi nduguzo
Nauza mitumba grade one...mtumba wa nguo za mashuka. Pure cotton, King-size....yanakua mashuka mawili na foronya 4. Mashuka ni makubwa sana afu mazito. BEI kwà kila pair nauza 70,000.
Belo lake linauzwa 960,000/= , ni la kilo 45. Ndani zinakaa 25 pieces.
Ni mashuka ambayo hayajalaliwa. I...
Mijitu mingine ina roho mbaya ka nini yani...sasa Serikali ikipiga marufuku sisi wauza mitumba tutauza nini?
Kama huna kitu cha kupost...si uwege msomaji tu? Hili jamaa linajifanya lijuaji sana. Afu humu jf tushakuchoka na sera zako za ajabu ajabu!!!!
Hahahahha Unajua nacheka nini....Hii kitu ni Maajabu...hahahahah...
Mimi hapa unavyoniona, na umri wangu huu , tangu nizaliwe Marais niliowahi kuwaona kwà macho na kwà ukaribu kabisa ni...
1. Mwalimu Julius NYERERE
Nakumbuka nikiwa form one...alikua akitualika kwenda kulima katika shamba...
Nimesoma zaidi ya combination 7 wakati nikiwa high school. Na zote nilizisoma ndani ya mwaka mmoja.
Combination ya nane ( ambayo ilikua na pure mathematics ndani yake) niliisoma kwà miezi mitatu tu na nikafaulu kuingia chuo.
Kiufupi...high school niliisoma kwà kuungaunga...coz kila baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.