Recent content by Attraction

  1. Attraction

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kuishi na wanawake ambao hamjawaoa bado

    Lakini inategemea na mkoa unaoishi na kipato cha familia husika
  2. Attraction

    JamiiForums Tanzania Lowasa azam 2 saa kumi kamili

    Wanaohitaj kumuona lowasa akiongea na jamii ya watu wanaoheshimika zaidi dunian na wenyejuhud katka kufanya kaz WANAWAKE . Tungane kumsikiliza
  3. Attraction

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ninaunga mkono UKAWA!

    I wish u utajiri mwema zito
  4. Attraction

    JamiiForums Tanzania Dodoma pekee ndio kuna Mamlaka hii, Mikoa mingine hamna

    Tufahamishane
  5. Attraction

    JamiiForums Tanzania Dodoma pekee ndio kuna Mamlaka hii, Mikoa mingine hamna

    Nimekutana na viliio vya baadhi ya wakazi waliokuwa nje kidogo na mji wa Dom wakilalamikia CDA CAPITAL DEVELOPMENT AUTHORITY kupima viwanja vyao na kuwapokonya ardhii. Unaambiwa wafanyakaz wa CDA wanaviwanja sana na ni matajiri hata ukipita nje ya ofisi zao utaweza gundua hilo.nikajiuliza je hii...
  6. Attraction

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Hivi lowasa ameshafanya kitu gan kikubwa kwa nchi..
  7. Attraction

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Wewe ni mkabila nini?
  8. Attraction

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye miaka 3, mwenye uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na kuongea Kiingereza vizuri

    hio habari huenda imekosewa kidogo kama mtoto anaweza hayo...kutoenda shule sawa lakin wamemfundisha home ...vinginevyo sio genius ila ni mtoto waajab
  9. Attraction

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    wanapaswa wajulishwe
  10. Attraction

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu zifuatazo naunga mkono kutokufanyika uchaguzi CHADEMA kwa sasa

    Pesa,hela,fedha,mkwanja,etc...mbele sioni cjui lipi ni lip?
  11. Attraction

    JamiiForums Tanzania Nape Amponda Mbatia Kwa Kusahau Alizawadia Ubunge

    Kumbe Nape hana busara kias hiki...ni kwel kasema haya.!? Mbatia unakaz sana kama ndo hv
  12. Attraction

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa Dawa za kulevya waingizwa nchini, upo Mbezi Beach!

    Rais si mzalendo kama ni kwel anawajua wauzaj bila kuwachukulia hatua, then anawasaidia mateja aonekane anahuruma...
  13. Attraction

    JamiiForums Tanzania Ubakaji JKT(mafunzoni)

    Hakuna kitu kikafanyika bila kutokea upuuz, nakumbuka ancle aliniambia moja ya sababu za kusitisha kupeleka wanafunz jkt ilikua ni maambukiz kwa wanafunz kuongezeka..nilitegemea haya kutokea
Back
Top Bottom