Recent content by Attala

  1. A

    Lady Jaydee: Clouds FM ni wanafiki, wanataka wahongwe ili wapige nyimbo za wasanii

    Siku zote tunasikiliza clouds na tutaendelea, hapa Mchomvu kule Millard aaah watasubiri sanaaa..
  2. A

    AIRTEL YATOSHA ni nomaaaa.....!!!!

    Ebana eeeeh hawa jamaa ni nouma!!
  3. A

    B.a in history

    Kwani ndugu ukufanya field ili kuweza kujua hizo sehemu za kufanya kazi?..!!!
  4. A

    Wema Sepetu amwokoa Kajala, atoa milioni 13 kumnusuru

    Big up Wema kwa moyo wa huruma..!!
  5. A

    kupata kazi noma

    sasa hapo tusi ni lipi?,,!!!
  6. A

    Wema Sepetu atangaza nafasi za kazi

    swala la kazi na mahusiano ya mtu wapi na wapi, kwa hiyo uogope kufanya kazi kisa kampuni inaweza kufungwa mda wowote huu ni ujinga, kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake, Best wishes Wema!!
  7. A

    Hatimaye yule polisi aliyemuua mwalimu kwa risasi amefukuzwa kazi

    Mbona taarifa hapo juu inasema huyo askari anakabiliwa na mashitaka, huwezi shitakiwa pindi upo kazini!!
  8. A

    Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    Mbona jamaa kaeleweka vizuri tu, kavipi thread inapokuchanganya uwe unarudia kuisoma,kweli akili ni nywele....
  9. A

    Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    Pumba tu hapo, kila nafsi itaonja umauti!!!
  10. A

    Natafuta mchumba.!b-)

    Duuuh nafasi za kazi hizo!!!!
  11. A

    Degree ya culture and heritage.

    duuh kwan hii course ulilazimishwa kuchukua, na ujafanya field mpaka usijue sehemu ya kuajiriwa, hapo tafuta mtaji tu uje uchonge vinyago utaitendea haki course yako ukisubiri kuajiriwa jua la utosi litakuwa lako..!!!
  12. A

    Maandamano IFM

    Ina maana uongozi wa hostel haupo na hamna ulinzi binafsi ktk hiyo jumuiya, hata mm swali langu hilohilo hapo polisi waweke sungusungu au wawe walinzi wa hostel???
  13. A

    mshahara wa kuanzia mwalimu mwenye degree ni sh ngapi?

    "Great thinkers" sijui nn maana ya haya maneno maana duuuh comments zao utatamani ulie..!!!
  14. A

    Ikifika 40 years kama hujafanikiwa ni ngumu kutoka...

    Asee kwa life expectancy la bongo ukifika 40 hakijaeleweka nenda kwa Kalembwani..!!
Back
Top Bottom