Kuna gari 1zz engine vvti inatoa mlio ambao unaonekana ni kama unatoka ndani ya engine na sio nje kwenye mkanda, tensioner imenunuliwa mpya, vvti sensor inaonekana iko vizuri tumetoa chujio,Timing belt haijavutika bado iko vizuri, Anahitajika fundi mwenye akili na aliyewahi kutatua tatizo la...
Hapa kuna.maneno mengi lakini kwa wabongo walivyo kutakuwa na upigaji mkubwa. PPP si ndio ilitokea kati ya Udsm na Mlimani citu holdings mkataba wa kikabaila.
CBE kwanza prof Teddy Luoga angesafisha mfumo wa wanafunzi kupata matokeo na vyeti vyao kuna urasimu mkubwa , uzembe wa watendaji hasa...
Katika chuo kinaongoza kwa uzembe na utendaji mbovu hasa kwenye suala la matokeo ya wanafunzi ni CBE
Kuna binti alisoma hapo miaka 2 iliyopita anaenda kufuata matokeo anaambiwa matokeo yake yamepotea kwenye system.
CBE inabidi inunue system ya computer mpya na yenye uwezo wa kuhifadhi, kuonesha...
Una mantiki sana kwa ujumla hizi sherehe zote ni matumizi mabaya ya rasilimali. Wangeyapotezea tuu ikawa tv zinaonesha historia watu wanapumzika nyumbani basi.
Dunia iko kwenye AI na technological na bilogical weapons na sio kujazaia biceps kuvunja matofali. Hebu ingia you tube angalia best...
Kiongozi wao Habib bourgiba alichangia hili la kuwapa haki sawa wanawake ya kumiliki mali, Ndoa kwao zinavunjwa ikibidi wanandoa kuhitilafiana,
Wako more liberal muslims zaidi ya Uturuki.
Kuna wanawake wengi waliolewa halafu wakatibua ndoa ili kupata equal share of asset and property hii ni...
Yale matatizo haswa ya uwekaji kwa wakati na usahihi wa matokeo ya wanafunzi bado ni changamoto sana kwa chuo hichi na kuna hawa wanaoitwa Head of dept wamekuwa ni kama wanajilazimisha kufanya kazi zao
Very unproffessional kwa kweli kama una mtoto ni bora umpeleke IAA au IFm, au NIT vyuo...
Hongera sana Prof Lwoga. Tafadhali shughulikia au fumua watu wanaoitwa HOD hawsaidii kabisa kutatua tatizo la matokeo ya watoto wanafunzi, wamegeuka miungu watu wanakosesha vijana kusoma vizuri.
Hili swala la matokea hayajapanda kwenye system ya mtandao ya cosis, hawana emotional intelligence ya...
Ifike wakati sasa serikali kuu ione umuhimu na hatua za mapema za kupanga mji wa kawe, huu mji wa kawe umekuwa shagalabagalah ingependeza barabara ingepanuliwa kwa kuvunja nyumba na maduka yote yaliyojenga ndani ya barabara, kupanua njia za mitaa.
Sababu kubwa ya kilichotokea ni marehemu kanali...
Nikiwa kama mzazi wa binti anayesoma chuo hicho kuna mapungufu nitayabainisha kwa nia ya kusaidia mkuu wa chuo na director of undergraduate studies wayachukue wayatatue
1. Kuna shida kubwa ya ratiba za vipindi yaani mtoto anaondoka asubuhi anarudi usiku na ukitazama hapo katikati kuna gap kubwa...
Egypt wana akili kubwa na wamepata civilization before christ 11 AD.
Mambo ya management tuu akina Fredrick Taylor marekani karne ya 18 egypt tayari kuna management iliyojisimika miaka zaidi ya 8000 iliyopita. Halafu sio wavivu. Angalia education system yao, angalia road netowrks zao kuna...
Anahitajika mtaalamu wa kuandika proposal kwenye entertainmnet business. Pm hapa tuanzie hapa platform kubwa hii
Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
Sio kweli kama ilisikia raisi msomi wa malawi Lazarus Chakwera speech aliyoitoa wakati wa kumuaga JPM utaelewa elites and academicians wa malawi wana mtazamo gani juu ya hayati JPm
Waafrika wengi na duniani walioenda JPm alivyokuwa anabana matumizi ya umma na kusimamia miradi, utumbuaji majipu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.