..........ilikuwa ni ajili ya kitoto ndo maana ulimuombea kifo, sasa tumekuwa lakini nakiona bado una hasira na kisirani na hii ndo shida kubwa itakayokutafuna kiroho na kimwili, nenda church katoe sadaka na maombi maalum ya kutoa roho chafu.......
.......kwanza hongera zao kwa kuwa na mikakati ya ndoa, zifuatazo ni assumptions
1. Kijana wenu ana malezi mabovu na hivyo Hana haiba ya ndoa au kuwa baba
2. Binti amempenda ndugu yenu kwa dhati yupo tayari kwa ndoa kitu ambacho ni opposite Kwa mwezie
3. Distance relationship haijawahi kumuacha...
.........ndoa ni jambo jema kama ni zao la matamanio ya mioyo yote miwili, ila kama zao la pressure kutoka upande mmoja basi ujue mnakaribisha stress mpya kwenye maisha, all in all hii ni habari njema so hongera kwao.........
.....nadhani kapata fununu, kaamua kwenda kupima DNA kakuta mkeka umechanika kwa watoto wote, ili kuepusha kifungo cha maisha ameamua kula unyoya kimyakimya.....
.......dunia inabadilika sana hawa nyani wameanza kujifunza tabia za hovyo, imagine unapita hilo eneo na mkeo then waanze kumkonyeza, sio kitu kizuri kabisa, mamlaka zilitazame hili.......
......asilimia kubwa ya nyani na baadhi ya nyoka wakubwa huwa wanadharau mwanamke, lakini hiyo tabia ya kukonyeza ni ya kishenz sana, wanatakiwa kudhibitiwa haraka sana.....
.......hata kama simba inatazamwa kama ni kikosi kipya lakini kwa time hizi inapaswa japo kuvuka hatua ya makundi, failure to do so lawama watastahili......
......akina halima hawajaamia tu kuisimamiaa serikali kama zamani, sio kwamba wenzao wamewakatisha tamaa kihivyo, shida ni kuwa hao kovid 19 ni kama wameona serikali ndo mtetezi wao kuendelea kuwemo bungeni, so kuna namna kama ya kuona haya kuhoji na kuuliza mara Kwa mara, unaweza kuona hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.