Recent content by athumanishapu

  1. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri ndani ya Dar

    Kuna MTU nataka nimsomeshe ila uwezo wangu wa kumlipia ada usizidi 1,500,000 kwa yeyote anaejua shule yenye gharama ninayoiweza kuimudu anisaidie nitafurahi zaidi ikiwa ndani ya Dar
  2. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Kuna uwiano wowote kati ya rangi ya bati na rangi ya ukuta?

    Mfano , nimenunua BATI rangi ya kijani JE ni rangi gani nipake ukutani ili iendane na rangi ya bati?
  3. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Ili uweze kufanikiwa unahitaji

    Good
  4. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    TV inchi inafaa zaidi kwenye hii biashara
  5. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Kipi kati ya hivi kina nafasi kubwa kukutoa kimaisha?

    Habarini wana JF, Naomba kuuliza kati ya hivi vitu vitatu, kipi kina nafasi kibwa ya kukutoa kimaisha? (1) KUAJIRIWA (2) KILIMO (3) BIASHARA
  6. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza je, rangi zipi zinafaa kupakwa nje na zipi zinafaa kupakwa ndani?

    Naomba kuuliza je rangi zipi zinafaa kupakwa nje na zipi zinafaa kupakwa ndani? Na kampuni ipi ya rangi iko bora zaidi
  7. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Namuona JAFO anafaa zaidi
  8. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?

    Eneo ni Dar, chanika lengo nahitaji nyumba yenye vyumba 3, vyumba 2 vya kawaida na master 1, jiko, dining, choo
  9. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?

    Hiii ramani ni zaidi ya tofali 2800
  10. athumanishapu

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba kwa bajeti ya milion 5

    Daaaaah kweli ayseeeee mwaka jana mwezi wa 10 nilapata uo mtiani ,,nilikuwa na kiasi kidogo cha fedha 3M malengo yangu nikaanze kununua tofali kwanza alafu mambo mengine yaendelee, mchumba wangu alinishauri niache kununua tofali ela yote niingize kwenye biashara , mwanzo nilimpinga nikaona ngoja...
Back
Top Bottom