Recent content by Atanaye

 1. A

  Kikwete: What a shame to talk about ox- ploughs now!

  Yale yale: kukurupuka na kukimbilia nyenzo ambazo hatuna uwezo adilifu. Nitakubaliana na Mheshimiwa kwa upande upande na wakati huo huo nitapenda kukemea kujisurutisha na kuwaweka wakulima wadogo katika madeni ambayo hayataweza kumsaidia kwa mda mrefu. Kauli kama hiyo, ni kukaribisha madeni, na...
 2. A

  Mr Bernard Membe Addressing the 67th session of the United Nations General Assembly in New York

  I agree with Membe on many issues, and the theme which is "Bringing about adjustment or settlement of international disputes or situations by peaceful means." And in the same context disagree with others who have recently used the UN platform to justify war instead. I think the speech, clearly...
 3. A

  Kwa NEC hii mpya, CCM inakwenda kufa - Dr. Slaa

  Wakuu, Ni aibu kuona chama kinaendeshwa bila nidhamu. Na kama nidhamu ipo, basi wale ambao hawana nidhamu ndani ya chama wawajibishwe. Bila hiyvo, uongozi wa CCM wa Taifa lazima uwajibishwe kwa kutoleta nidhamu sio ndani ya Chama tu, bali hata serikali inayoshikilia na kuendesha. Kwa mlolongo...
 4. A

  US Sec of State, Hillary Clinton in major African trip.

  Mkuu, Matamshi kama hayo hapo juu ndiyo wanayotaka, mimi sioni, angalau kwa sasa kuwa Wachina wako kwaajili ya kutufilisi. Historia inajionyesha yenyewe. Sisi hao hao waafrika ambao kwa namna moja au nyingine, tumechangia kwenye nyanja nyingi Marekani, na bado "quid pro quo". Nakumbuka wakati...
 5. A

  Mchumia Juani Upo?

  Duh long taym hapa yuko wapi huyu?
 6. A

  Let Zanzibar Go! - Kwanini Zanzibar hawahitaji kuwashawishi Watanganyika ili watoke kwenye Muungano

  Inasikitisha kuona kuwa sasa tumefikia hapa, tena mara nyingi tu! Tukumbuke kwamba sasa hivi kuna wale ambao wanachekelea mdahalo huu, wanajua fika kuwa tumefika wanapotaka tufike. Nitasisitiza kuwa muungano wowote ule ambao uko nje na matakwa ya mabepari na watwana wa magharibi(kama wapo)...
 7. A

  Mtanzania kutoka Trilioni mfukoni!

  Hii linki hapo juu imekufa! Katika pita pita yangu michuzi niliona Mheshimiwa Kabwe ameonyesha kuwa sasa tunadaiwa hizo trilioni! Tutafika kweli?
 8. A

  Mtanzania kutoka Trilioni mfukoni!

  Madeni ndio hayo!
 9. A

  Mzee David Wakati Katutoka Leo

  Mchango wako kwa Taifa letu hauwezi kusahahulika, Rest In Peace. Kwa Familia, Mungu awape nguvu.
 10. A

  Kama ungepewa urais ungeanza wapi kunyanyua hali za wananchi?

  Huu ndio wakati muafaka ...maswali haya yangeelekezwa kwa wagombea wa sasa Kama utachaguliwa Uraisi utaanza wapi kunyanyua hali za wananchi? DK. Slaa? J.K?
 11. A

  Elections 2010 Mama Salma akerwa na Ilani ya CCM kutopembuliwa kitaalamu utekelezaji wake

  Mkuu, Nimepumbazwa na hayo matamshi yake. Swali langu kama lake na kama limenukuliwa vilivyo... ...."hakuna wanofanya upembuzi yakinifu" kabla hajakurupuka na matamshi yake? Maoni yangu, anaongeza nguvu ya wale ambao wanadai au kuona ilani hiyo haimsaidii mtanzania.(kama imepwaya)...
 12. A

  Nani atakuwa Rais muokozi wa Tanzania?

  Wakuu, Muokozi wa Tanzania ni sisi wenyewe, hakika kama tukikaa na kutafakari yote ambayo yametupita, tutaona kuwa ni sisi wenyewe "Watanzania" tumejifikisha mahali tulipo Tunaweza kudai kuwa kuna walaghai, wala rushwa, watoa rushwa, na wengine wote walioturudisha nyuma, lakini wote hao bado...
 13. A

  Heri ya Noel 2009 na mwaka mpya 2010!

  Merry X-mas to you all and have a blessed 2010!
Top Bottom