Mr Bernard Membe Addressing the 67th session of the United Nations General Assembly in New York

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
The Minister for Foreign Affairs and International Co operation, Mr Bernard Membe, has underscored the importance of "Preventive Diplomacy" in resolving raging global conflicts.

Bernard-Membe.jpg

The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr
Bernard Membe

Addressing the 67th session of the United Nations General Assembly in New York , a speech for which was obtained in
Dar es Salaam, Mr Membe said Tanzania welcomed the many initiatives undertaken at national, regional and international levels in promoting dialogue rather than quickening feet to draw swords whenever nations disagreed.

"We meet here amidst upheavals of unprecedented scope characterized by multiple intra and inter-state conflicts in the world, a time of emerging and worsening conflicts, most of which are taking place in Africa and the Middle East," Mr Membe said referring to last year's Arab Spring Revolution and the raging civil war in DR Congo that has claimed thousands of lives.

Mr Membe was addressing the august global assembly on behalf of President
Jakaya Kikwete whom he said: "Could not attend this session due to other equally important engagements (at home)." The Minister also applauded the theme of the General Debate: "Bringing about adjustment or settlement of international disputes or situations by peaceful means."

For 50 years of Independence, Mr Membe said,
Tanzania has witnessed and appreciated the effectiveness of preventive diplomacy and has even participated in the region and the continent such as in Burundi, Ivory Coast, the Democratic Republic of Congo (DRC) and Kenya.

"The involvement of the Former Presidents of
Tanzania, the late Mwalimu Julius Nyerere and Benjamin William Mkapa as well as President Kikwete, in these processes is a clear testimony of our continued commitment to preventive diplomacy," he said.But as the proverbial adage goes, no medicine man can treat himself, Tanzania too this time around, has a hotly brewing border dispute with neighbouring Malawi, which could end up at the International Court of Justice (ICJ), the UN organ for settling global disputes, basing basically on the norms of international law.

The country has sent clear message that it wants the matter settled amicably without the need to resort to a military show down. "Mr President, we are all too aware of the dire consequences of conflicts particularly when all mechanisms provided in the Charter of the United Nations for resolving conflicts fail to find a permanent solution and lasting peace," Mr Membe said and added: "The situation in Syria is a case in point. It is important that we find ways of strengthening the early warning mechanisms and prevent conflicts before they occur," he stressed.

While facilitating dialogue, he said, it was important that nations uphold the principles of impartiality, objectivity and respect of international law. The unity of the entire UN membership, he emphasised, was crucial in ending impunity and human rights violations wherever they occur. "In whatever case, we should not pursue anything that would encourage parties in conflict to resort to armed solution instead of dialogue," he stressed.

"The Pacific Settlement of Disputes as provided under Chapter VI of the United Nations Charter has never been so pertinent," he said and added: "In the interest of maintaining peace and security, we should learn to keep our differences aside and not allow them to create divisions among us. I believe your Presidency will guide us towards this direction."

Last June, the General Assembly elected former Serbian Foreign Minister, Vuk Jeremic, as the President of the current 67th session of the UN's highest body, a first from the Eastern European Group (EEG), one of the smallest regional groupings in the world.Mr Membe also took the occasion to congratulate him "for his well-deserved election" as he also saluted the Secretary General, Mr Ban Ki-Moon and the entire secretariat for their service to the UN.

Mr Membe also said Tanzania, together with the other 12 member states of the Southern African Development Community (SADC), have agreed to establish an International Neutral Force comprised of 4,000 troops to keep the peace in DR Congo "where rebel groups such as the M23 are destabilising and threatening peace and security of the entire region," he said."Through the African Union (AU), we are taking necessary steps to ensure that the deployment of this International Neutral Force in eastern DRC gets the mandate of the United Nations," he said.

Likewise, he said, Tanzania will work assiduously with other SADC member states to support the return to constitutional normalcy in Madagascar and the finalisation of the new constitution in Zimbabwe, which will open the way for democratic elections by June, 2013."We will proceed in this endeavour with the firm belief that a solution in both countries will finally be achieved through effective and constructive engagement of all parties concerned," he concluded.

View attachment 66496
 
In other words it is the UN who will decide whether or not the Malawi border dispute to be resolved through war or amicably... Hivi makampuni yanayowakilisha Malawi katika kusaka na kupima hayo mafuta Lake Nyasa ni kampuni ya taifa gani?
 
hiyo hotuba ni nzuri ila sijui kama kulikuwa na watu wanamsikiliza . Mbona hatuoneshwi hao wahudhuriaji wengine!
 
I agree with Membe on many issues, and the theme which is "Bringing about adjustment or settlement of international disputes or situations by peaceful means."

And in the same context disagree with others who have recently used the UN platform to justify war instead.

I think the speech, clearly shows Tanzanias foreign policy and ascertain its diplomatic maturity. I applaud out aloud!
 
hiyo hotuba ni nzuri ila sijui kama kulikuwa na watu wanamsikiliza . Mbona hatuoneshwi hao wahudhuriaji wengine!

Mkuu hio ni UN, watu wapo makini na kazi zao... Naamini walimsikiliza kabisa na nakala kutunza. Unadhani hawa wenzetu wasikie kuna ki conflict ambacho kinahusisha mafuta hapo wanakuwa passive? Ukute they know more about the source of dispute kuliko hata Membe mwenyewe.

On the border dispute, so far I can observe wa Malawi wapo willing hii kitu ipite kwa amani kama walivo Wa Tanzania. Issue itakuwa ikiwa ruled out kuwa ni ya upande mmoja na sio mgao nusu kwa nusu.

Nakubali speech ilikuwa nzuri, tena sio ndefu sana na straight to the point ingawa nimeshangaa haijatajwa kuwa Tanzania ndio itaongoza troop za wana jeshi Congo (sijui hizi habari ni za kweli mana hata sikumbuki nilisikia wapi).
 
SATURDAY, SEPTEMBER 29, 2012

529886.jpg

Hon. Bernard K. Membe (MP), Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation addresses the United Nations General Assembly earlier today on behalf of H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania. (This photo is courtesy of UN/J Carrier)

Hon. Bernard K. Membe (MP) (right), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation reading statements from various delegates together with Hon. Mathias Chikawe (MP) (center), Minister for Constitutional and Legal Affairs. Left is Hon. Abubakar Khamis Bakary, Minister for Justice and Constitutional Affairs in Zanzibar.

Chief Secretary Ambassador Ombeni Y. Sefue (2nd right), reviewing various documents prior to Hon. Membe's Statement before United Nations General Assembly. Left is Hon. Mussa Hassan Mussa (MP) and Mrs. Dorcas Membe (3rd right).

H.E. Ambassador Tuvako Manongi, Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations (right), H.E. Prof. Dr. Joram M. Biswaro (2nd right), Ambassador of the United Republic of Tanzania to Ethiopia and Permanent Representative of Tanzania to the Africa Union and United Nations Economic Comission for Africa (UNECA). Others are H.E. Ambassador Liberata Mulamula, Senior Advisor to President Kikwete (Diplomatic Affairs) and H.E. Ambassador Mwanaidi Sinare Maajar, Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United States of America and Mexico.

Mrs. Darscas Membe contratulating Hon. Membe after he finished addressing the United Nations General Assembly. Witnessing the moment is H.E. Ambassador Tuvako Manongi.

H.E. Ambassador Tuvako Manongi congratulates Hon. Bernard K. Membe (MP) after he finished addressing the UN General Assembly today in New York.

H.E. Dr. Biswaro congratulates Hon. Membe.

Hon. Mussa (MP) congratulates Hon. Membe.

Chief Secretary Ambassador Ombeni Y. Sefue congratulates Foreign Minister Hon. Membe.

Hon. Abubakar Khamis Bakary (MHR), Minister for Justice and Constitutional Affairs in Zanzibar congratulates Hon. Membe.

Ambassador Mulamula congratulates Hon. Membe.

Mrs. Darscas Membe in a photo together with Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation after he gave his Statement on behalf of President Jakaya Mrisho Kikwete during the General Debate at the United Nations General Assembly yesterday in New York, USA.

H.E. Ambassador Tuvako Manongi (left), Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations in a photo with Hon. Membe (center) and Mrs. Darscas Membe.

Hon. Membe and Mrs. Darscas Membe in a photo outside the United Nations Headquarters in New York, USA.

Hon. Bernard K. Membe (MP) (center) in a photo with Ambassador Liberata Mulamula (right), Senior Advisor to President Kikwete (Diplomatic Affairs) and Mrs. Darscas Membe.

Mr. Togolani Mavura (left), Private Assistant to Hon. Membe congratulates his boss, Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation for making Tanzania proud for his grandiose speech at the United Nations General Assembly. Hon. Membe led the Tanzania delegation on behalf of President Jakaya Mrisho Kikwete.

Ms. Tagie Daisy Mwakawago, Communication Officer in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation took little time off behind the camera and reporting to congratulate Hon. Bernard K. Membe (MP) after he delivered his Statement at the UN General Assembly. (photo by Mr. Rainman)

Mr. Modest Jonathan Mero, Minister Plenipotentiary of the Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the UN briefs Hon. Membe (left) about Tanzania Mission. Center is H.E. Ambassador Tuvako Manongi, Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations.

Hon. Bernard K. Membe (MP) (5th left), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, in a group photo with home-based staff members at the Tanzania Mission to United Nations in New York, together with Ms. Annette Mmari (2nd left), Secretary to the Minister and Ms. Ramla Khamis (left), Second Secretary in the Department of Multilateral Cooperatin in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation.

Posted by MUHIDIN MICHUZI at Saturday, September 29, 2012

Membe na Mama Membe... Really nice...

Mtoto wa Mwakawago kazi Ubalozini; ni Connection ya Mzee tangu alipokuwa Balozi UN...

Ukienda pale Ubalozini kama hauna JINA!! wanakuzungusha kaka karanga za kukaanga...

Wakisikia Una KAZI Nzuri sio kubeba MABOKSI na hauwajali wooote watakukimbilia...

Ukisoma kitabu kiitwacho, ANIMAL FARM utagundua kuwa kumbe watanzania wote ni sawa ila kuna wengine wako zaidi ya sisi wote watanganyika. Hebu tazma maisha na mavazi ya bernard Membe na mkewe halafu kumbushia maisha ya dhiki ya ajabu ya wazee wa Igunga yalivyo oneshwa katika picha . Mzee Membe anng'ara na suti wakati asilimia 100%ya wangoni hawana kazi!

Angalia jinsi hao maofisa wa kibalozi wanavyotanua, hali zao za kimaisha hazilingani kabisaaa na maisha ya mtanzania wa Igunga. Jamani kweli tunajenga nchi au kutambiana tuu ?
 
Duh!Yani kuanzia ndani hadi nje anapongezwa tu.Na wakati picha nyingine ni kama tu photo opp.Kama hizo picha nyingine za nje bado tu anapongezwa lol!Anyways inaonekana walikuwa so excited na hiyo wanayoiita statement,ngoja niitafute niisome.

BTW naona hizi kama mbio za urais.Ndo chaguo la JK huyu?Halafu msafara mkuubwa,wabongo bana,na umasikini wa wananchi lakini wapi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Publicity mkuu wangu. Tumeona jitihada kuanzia wiki iliyokwisha.
It's a well calculated move. Kwa bahati mbaya au nzuri historia ni mwalimu mzuri tu! na haionekani kuwa mtetezi mzuri kwa Membe.
Let wait and see!
 
Halafu mkuu sijui kwanini hawafanyi mambo ki JF,yani na kujadili alichosema,anyways,nimeenda kuitafuta hiyo "statement",hii hapo chini,na mimi ndo ninaisoma ili tuone kama kuna cha kujadili zaidi ya picha.

http://papersmart.un.org/ga/sites/papersmart.un.org.ga/files/tanzania-english.pdf
 
Una akili sana weye katika kuchanganua mambo. Naona juhudi za kujifagilia kuelekea 2015 ndio zimeanza rasmi...ila sijui kama ndio chaguo la Kikwete si unajua yule alivyo msanii sidhani kama atakuwa na ubavu wa kuweka hadharani chaguo lake. Atataka kujionyesha kama yuko neutral kwa wagombea wote wa magamba.

Duh!Yani kuanzia ndani hadi nje anapongezwa tu.Na wakati picha nyingine ni kama tu photo opp.Kama hizo picha nyingine za nje bado tu anapongezwa lol!Anyways inaonekana walikuwa so excited na hiyo wanayoiita statement,ngoja niitafute niisome.

BTW naona hizi kama mbio za urais.Ndo chaguo la JK huyu?
Halafu msafara mkuubwa,wabongo bana,na umasikini wa wananchi lakini wapi!
 
Halafu mkuu sijui kwanini hawafanyi mambo ki JF,yani na kujadili alichosema,anyways,nimeenda kuitafuta hiyo "statement",hii hapo chini,na mimi ndo ninaisoma ili tuone kama kuna cha kujadili zaidi ya picha.

http://papersmart.un.org/ga/sites/papersmart.un.org.ga/files/tanzania-english.pdf

Asante mdau kwa kutuwekea hotuba. Ndiyo, hotuba ina mantiki ya kidiplomasia, kama inavyotarajiwa. Lakini hili la kupendekeza "second generation of the MDGs" limeniacha mbavu zinauma. Imenirejesha kule kwa kale ka utamaduni ketu ka siku zote - tunapewa mbegu lakini badala ya kuvuna na kuweka mbegu kwa ajili ya msimu ujao, tuzitafuna (tunazifisadi). Ikifika mwanzo wa msimu mwingine tunaandika ripoti nzuri sana inayoainisha 'mafanikio' (hewa), matatizo, na 'changamoto', na kwa msingi huo tunaomba tufikiriwe kupewa mbegu nyingine ili tuanze upya. Inasemekana duniani kote hakuna nchi inayoizidi Tanzania kwa kuandika ripoti nzuri za matumizi ya mbegu zilizoliwa na "mchwa"!!! Nimecheka kweli kweli.
 
Mkuu jmushi1, ahsante kwa link.Nimepitia sikuona kigeni zaidi ya yale yale tuliyozoea.

Panapo kera ni pale pa MDG na Eurozone crisis. Anasema crisis ya eurozone itaathiri flow of aids! Wakati wenzetu wanafikiria kujikwamua sisi tunawasi wasi bakuli linaweza lisijae!

Ameongelea kuwa stimulus package imefanya kazi, wakati tunajua kuwa pesa zote zilitafunwa na kuna kesi za ununuzi hewa wa pamba.
Kwa average Tanzanian stimulus package was simple a stupid thing that did not add any value to his/her life.
Kuongelea hilo ilikuwa ukasuku tu na ina m-expose Membe katika kusimamia rasilimali za taifa, ukweli na sheria.

Anasema AU ipewe seat katika security council (veto), gi me a break! Hatuwezi kupambana na Al-shabaab miaka 15 halafu tunataka tuwe na veto dhidi ya Marekani, fRANCE, Russia n.k. kwa lipi.
Hatuwezi kulisha watu wetu tunaomba MDG na Misaada ya UNESCO halafu tunataka veto!

Tunaomba mabosi wasisitishe michango UNESCO halafu tunaomba nafasi ya kuwawekea veto! haloo

Kwa kifupi hotuba hiyo ni ya kawaida kabisa na sioni kwanini itumike katika publicity.
Ningeshauri Team Membe waendelee kusambaza picha katika blogs pengine itasaidia.

Kila nikimuona Membe nakumbuka Radar na uchafu mwingi ulio chini ya zulia unaosubiri upepeo tu utimke !
 
Asante mdau kwa kutuwekea hotuba. Ndiyo, hotuba ina mantiki ya kidiplomasia, kama inavyotarajiwa. Lakini hili la kupendekeza "second generation of the MDGs" limeniacha mbavu zinauma. Imenirejesha kule kwa kale ka utamaduni ketu ka siku zote - tunapewa mbegu lakini badala ya kuvuna na kuweka mbegu kwa ajili ya msimu ujao, tuzitafuna (tunazifisadi). Ikifika mwanzo wa msimu mwingine tunaandika ripoti nzuri sana inayoainisha 'mafanikio' (hewa), matatizo, na 'changamoto', na kwa msingi huo tunaomba tufikiriwe kupewa mbegu nyingine ili tuanze upya. Inasemekana duniani kote hakuna nchi inayoizidi Tanzania kwa kuandika ripoti nzuri za matumizi ya mbegu zilizoliwa na "mchwa"!!! Nimecheka kweli kweli.
Umeona eeh!Yani blah blah zile zile!Halafu ni bakuli tu bado,kwanini asingezungumzia jinsi rasilimali zetu zinavyohitajika kutunufaisha?

Halafu sisi watanzania bana,badala ya kulizungumzia taifa letu na matatizo yanayotukabili,yeye anazungumzia kama vile analiwakilisha bara la Afrika.Kwa mfano alipozungumzia issue za Millenium Development Goals(MGD), anasema eti "most of our developing states are unlikely to achieve all the goals by the set deadline of 2015",ni kujitetea kwa kitoto kabisa kwa kujijumuisha na hizo states nyingine.

Alichotakiwa ni ku briefly state what were the problems encountered during implementation,and some solutions on how to move forward.Lakini badala yake mhhn!

Sehemu nyingine aliyogusia kuhusu bakuli,again,ni pale aliposema eti tuna welcome Palestine kushirikishwa kwenye UNESCO,lakini tena akasema anasikitishwa kwa donor countries kwa kui punish UNESCO kwa ku withdraw contributions(sijui walifanya hivyo kwasababu ya Palestine?),halafu eti ya kwamba hizo pesa za UNESCO,asilimia 65 huwa zinapelekewa kwenye elimu,sayansi na culture.Maajabu ni kwamba hajazungumzia kuwa matatizo makubwa yaliyotukwamisha ni grand corruption.

Hata yale ya MGD ukichunguza matatizo ni hayo hayo ya ufisadi.Watu hao wanajuwa kabisa kuwa tuna utajiri mkubwa wa maliasili,lakini bado ni kupiga domo tu!

Amezungumzia lack of rule of law and violation of human rights na maajabu ni polisi wa serikali yetu wanauwa wananchi bila hatia, na kudhibiti vyama vya upinzani pamoja na torturing and itimidation(Ulimboka,mwanahalisi nk),eti human rights,ni bora angenyamaza tu kwenye hilo!

Hayo matatizo ya unemployement,njaa na sijui umasikini na magonjwa,ameyataja kama matatizo tuliyo nayo,lakini hajasema ni vitu gani vinatukwamisha ili hata kama anataka dunia ijuwe ni msaada wa aina gani tunauhitaji,basi wafahamu,lakini wapi,wameacha hivyo hivyo kwasababu ofcourse wanachotaka ni pesa tu,na hata wakipewa haziendi huko zilipokusudiwa,ndo maana sisi waafrika tunadharauliwa sana.

Hakuna alichozungumzia cha maana sana chenye manufaa na mtanzania wa kawaida towards resolving our problems,ni blah blah tu!
 
Hii ni historia kwamba kahutubia Membe na JK hakusimama what went so wrong ni maajabu
 
jmushi1 na Nguruvi3,
Asante kwa analysis zenu. Mimi sikupoteza muda kuisoma, na mara ya mwisho nimesikiliza hotuba za Tanzania UN ilikuwa 2009 pale Kikwete alipokuwa anawaomba wafadhili wasaidie kuleta ajira kwa vijana wetu. Hata ajira limekuwa ni jukumu l wafadhili? I stopped listening.
 
Back
Top Bottom