Ni mchekeshaji bomba but kiingilio ndio tabu hapa, labda kama wametageti group fulani la watu. Wachekeshaji wetu hapa bongo kiingilio shs. 10,000 tu! Big difference.
Ndio utajua uelewa wa hao viongozi wapayukaji wa CCM sasa, maana hata hawajui kuhusu majukumu ya mabalozi wa nchi za nje hapa, na huyo balozi naye hana washauri au ni bange zake tu? Haya mimi napita tu hapa....
Nazani rahisi zaidi kupata ni katika hospitali au katika dispensary maana hapa nazani utahitaji ushauri pia kutoka kwa wataalamu jinsi ya kutumia au pia kuelekezwa kwamba kutokana na maumbile yako hauhitaji ring.Kila la heri.
Siasa bwana, watu siku hizi wamefumbuka macho thanks to CHADEMA. Huyu dogo angesema sababu za wao kupendelea Muungano wa serikali mbili and NOT tatu au moja, ili watu waweze kutoa maoni yao pia.Waache kulazimisha watu kukubaliana na mawazo ya watu wachache wanaofaidka na serikali mbili, maana...
Hivi ni kweli Muungano unawanyonya wazanzibar? Maana naona ni wao ndio wanataka Zanzibar huru, lakini waTanganyika wao wapo kimya kuhusu Tanganyika yao, je wao hawahitaji nchi yao ambayo imefunikwa katika vitabu vya historia tu? Hapa naona kama kuna umuhimu wa kuwa na serikali ya muungano basi...
Mada hii ni nzuri, mke wangu yeye anadai huwa anapata raha sana kama tukifanya mapenzi akiwa katika siku zake.
Lakini damu ya hedhi ina harufu fulani ndio maana watu wengi na hasa wanawake hawapendi kujamiiana wakiwa katika siku zao.
Amepotea njia huyu, aende kukata viuno tu maana ndio kikubwa alichojifunza akiwa jeshini, wenzake wanajifunza ukakamavu yeye anajifunza kukata viuno..!
Hapa naona kama vile odacom nao wanaanza kujiingiza kwenye siasa kwa kukumbatia ccm. Tunajua polisi wao ni wana-ccm sasa voda nao wanataka kujiingiza huko!!! Hii inji bwana.
Ndugai si muhuni tu yule, jamaa zake wamempandikiza pale kwa maslahi yao hana kitu.
Naibu spika inatakiwa awe mtu mwenye hekima, sasa jamani Nguday na hekima wapi na wapi....!
Yaani anasahau hata wananchi wake waliomchagua, maana ishu hata za maslahi ya taifa yeye anaziweka kampuni, jamaa hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.