Recent content by astrologist

  1. A

    Rais Dkt. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    Kwa hiyo Rais akitoa vitambulisho tu ndiyo anakuwa Rais mzuri? Hebu kuwa serious. Kuna Mambo mengi na mhimu kuliko hata machinga
  2. A

    Watumishi waliopandishwa na kisha kushushwa madaraja 2016, Rais na utumishi muwaangalie kwa jicho la huruma

    Awamu ya tano ilkuwa ngumu kwa watumishi wa umma. Hili halipingiki, kuna watumishi wengine waliacha kazi kabisa, sababu ikiwa no increments, no madaraja,ila kukawa na asilimia 15 ya makato ya Heslb na vikokotoa vya ovyo emerged. Sijui kwa nn watumishi wa umma were not valued. KAMA WEWE NI...
  3. A

    Ninapinga CHADEMA kumteua Ndugai kuwa Mgombea Urais 2025

    Siyo kweli kwamba Spika aliyejiuzulu ana nguvu kisiasa nchini Tz, Kama Kongwa kwenye alikuwa anapga watu kwa fimbo ndyo apite kwenye kura za maoni. Kwangu mimi huyo jamaa siyo maarufu kwenye siasa za Tz, ispokuwa anajulikana tu kwamba alkuwa speaker. Kwenye majukwaa ya kuomba kura kwa wananchi...
  4. A

    Wapinzani wakivurugana wanafukuzana, CCM wakivurugana wanapatana na kuombana msamaha. Hii imekaaje?

    Acha kudanganya, Membe mbona alifukuzwa CCM. Au ulikuwa hujazaliwa? Membe alitimkia Wazarendo
  5. A

    Lipumba: Mihemko ya Tundu Lissu itaiharibia CHADEMA

    Huyu anataka kurevive ili apate umarufu kupitia Tundu Lisu. Baadhi ya maprof wa nchi hii mnatufanya tuone uprof si chochote.
  6. A

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Hivi anafunga ndoa Kiserikali kuna gharama anazotozwa? Kama ndiyo,je ,ni sh. ngapi kisheria
  7. A

    Kuna pesa inayotozwa katika ndoa za Kiserikali?

    wenye kujua ktk ndoa za Kiserikali,je, kuna pesa maybe inayotozwa ktk kufunga ndoa ya Kiserikali? wanaojua karibun sana kwa ufafanuzi
  8. A

    Takwimu hazidanganyi; ukimpanga Diarra golini ujue tayari umeshafungwa goli 1

    Huyu kipa ni Ovyo kweli, Metacha was a good goalkeeper, ila kiburi chake tu ndio tatizo. Huyu wa mishale hata simuelewi kabisa
  9. A

    Hivi siku TRA inakusanya Kiasi gani kwa mwezi?

    Pasomeke kwenye title " Hivi siku hizi..................
  10. A

    Hivi siku TRA inakusanya Kiasi gani kwa mwezi?

    Kipindi cha awamu ya tano makusanyo ya mwezi yalitangazwa,ila kwa sasa ni zaidi ya miezi mitano kimya kulikoni. Ukijumlisha na tozo ambazo tunalipa nadhani mapato yamepanda juu.
  11. A

    DC Suleiman Mwenda: Iramba tumepokea Milioni 500 za vituo vya afya viwili

    Kwahiyo Zinaenda kwa waziri fedha tu! Vipi sisi huku Ndanda? Sent from my X-TIGI_V18 using JamiiForums mobile app
  12. A

    Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka

    kama alikwambia atakulipia ada ya chuo mwaka wa masomo ujao,basi imekula kwako, Rc aliahindwa kuco troll kinywa chake, alichopata amedeserve FULL STOP
  13. A

    StarTimes wataonesha Euro kwa kwa kifurushi kipi?

    Ahsante kwa ufafanuzi
Back
Top Bottom