Wakumpisha ni yule aliyekaribu na mimi ambaye ni mama mjamzito aliyebabe mtoto mgongoni. Sababu ya kwanza ya kumpisha ni kwamba ndiye aliye karibu na mimi kwa hiyo ni mtu wa kwanza nitakaye muona kabla sijawaona hao wengine.
They get what the deserve. Huu msiba watu walikua wameuvalia njuga na wafiwa wangechangia na wananchi Tanzania nzima na kupata hela ya kutosha.
Kama sijasahau kuna mwanaJf alikua amejitolea gari la kubeba maiti, je kulikua na watanzania wangapi ambao walikua wapo tiari kujitolea kwa huo...
Kazi ya police kwenye maandamano ni kulinda amani, usalama wa raia na mali zao. Hali kadhalika kutokana na udhaifu au uvumilivu mdogo tulioumbwa nao sisi binadamu ni rahisi mtu kupandishwa hasira akajikuta anafanya jambo bila kusudia kwenye sehemu kama zile.
Lakini japokua tuna udhaifu huo...
Kwani raisi ni Mungu. Watanzania siku tukiacha uogo na unafiki tutatoka katika dimbwi hili la umaskini
Dogo hana kuso lolote kwa kusema anacho amini yeye. Ana haki kikatiba kusema anacho amani yeye ili mradi akiathiri usalama wa taifa.
Ni free speech,kuna kosa gani kusema anacho amini yeye?
Uoga wako baki nao wewe na familia yako. Watu wenye uoga kama nyie ndio mnasababisha baadhi ya viongozi wajione Miungu watu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.