There's a beast in every man and it stirs when you put a sword in his hand.

There's a beast in every man and it stirs when you put a sword in his hand.

Joined
Nov 8, 2017
Posts
25
Reaction score
23
Kazi ya police kwenye maandamano ni kulinda amani, usalama wa raia na mali zao. Hali kadhalika kutokana na udhaifu au uvumilivu mdogo tulioumbwa nao sisi binadamu ni rahisi mtu kupandishwa hasira akajikuta anafanya jambo bila kusudia kwenye sehemu kama zile.

Lakini japokua tuna udhaifu huo tulipewa weledi wa kuchanganua mambo, na kupunguza hathari za hizo hasira kipindi hizo hasira zinapotuzidi nguvu. Kwa nchi za watu wenye kutumia weledi katika majukumu yao ya kazi ndio maana katika maandamano askari anapewa rubber bullet, au mabomu ya machozi, ama maji yenye presha kubwa ili kipindi askari uvumilivu utakapo mshinda kwa kupandishwa hasira, basi zile hasira zake zisije zikazaa majanga makubwa kama tuliyo yashuhudia huko Kinondoni. Kiujumla jeshi letu halina weledi katika utendaji kazi wao kazi yao watumia nguvu na mabavu [HASHTAG]#shit[/HASHTAG] hole country.

Kosa kubwa walilolifanya jeshi la polisi ni kuwa na wrong Weapons in wrong Place and at wrong Time. Naana yake askari police haruhusiwi kua na siraha ya moto kwenye maandamano au mkusanyiko wa watu ambao ni raia wema kabisa na wala sio majambazi. Siraha za moto sehemu yake ni vitani tu, siyo uraiani ambapo kuna akina mama, watoto, wazee na wakina dada ambayo ni makundi ya watu ambao hawaju hata maana ya vita.

MWENYEZI MUNGU AMLAZE MDOGO WETU, DADA YETU, CLASSMATE WETU, RAFIKI YETU NA NDUGU YETU AQUILINA.
 
Back
Top Bottom